Tuition payments, usually known as tuition in American English and as tuition fees in Commonwealth English, are fees charged by education institutions for instruction or other services. Besides public spending (by governments and other public bodies), private spending via tuition payments are the largest revenue sources for education institutions in some countries. In most developed countries, especially countries in Scandinavia and Continental Europe, there are no or only nominal tuition fees for all forms of education, including university and other higher education.
Unatafuta mwalimu bora wa kumfundisha mtoto wako nyumbani?
Elite Home Tuition tunakupatia walimu wenye sifa, uzoefu na uwezo wa kufundisha kulingana na mahitaji ya mwanafunzi.
🌍 TUNAFUNDISHA MITAALA MBALIMBALI:
🇹🇿 Tanzania National Curriculum
🇬🇧 Cambridge / British Curriculum
🌎 International...
📚 Elite Home Tuition tunatoa huduma bora za Home Tuition Tanzania nzima, kwa wanafunzi wa viwango mbalimbali kuanzia KG 1 hadi watu wazima.
Tunawasaidia wanafunzi wenye mahitaji tofauti ya kielimu, ikiwemo:
🧩 Autism / Autism Spectrum Disorder (ASD)
♿ Wanafunzi wenye mahitaji maalum ya kielimu...
📚 Elite Home Tuition tunatoa huduma bora za Home Tuition Tanzania nzima, kwa wanafunzi wa viwango mbalimbali kuanzia KG 1 hadi watu wazima.
Tunawasaidia wanafunzi wenye mahitaji tofauti ya kielimu, ikiwemo:
🧩 Autism / Autism Spectrum Disorder (ASD)
♿ Wanafunzi wenye mahitaji maalum ya kielimu...
Elimu bora huanza na maandalizi bora!
Unahitaji mtoto wako kupata Home Tuition yenye mwalimu mwenye uwezo na ufuatiliaji wa karibu?
👉 Elite Home Tuition tupo kwa ajili yako! 💯
📖 Tunatoa masomo kwa:
👶 Pre-School
🏫 Primary
📚 Secondary
🎓 Advanced Level
🎓 University
✅ Cambridge & mitaala...
Unatafuta mwalimu bora wa kumsaidia mtoto wako kufanya vizuri shuleni? Elite Home Tuition tunaleta walimu wenye uzoefu nyumbani kwako kwa muda unaokufaa.
Huduma zetu zinapatikana kwa:
Pre-School, Primary na Secondary
Mitaala ya Tanzania na Cambridge
Masomo yote ya Sayansi, Sanaa na Biashara...
Huduma ya Home Tuition sasa inapatikana Majumbani!
Tunatoa masomo ya ziada kwa wanafunzi wa:
Pre-School
Primary School
Secondary School
O-Level na A-Level
📖 Masomo yote yanapatikana kulingana na mahitaji ya mwanafunzi, pamoja na maandalizi ya mitihani, kuongeza ufaulu na kujenga uelewa wa...
Mfundishe mwanao na umjengee msingi imara wa elimu kupitia Elite Home Tuition Services.
Tunatoa huduma ya home tuition na online tuition kwa wanafunzi wa level zote, kuanzia chekechea hadi chuo kikuu, kwa kutumia mitaala yote, ikiwemo Tanzania Curriculum, Cambridge na International Curricula...
Je, unahitaji mwalimu bora wa kumfundisha mwanao nyumbani? Sisi tupo kwa ajili yako!
Tunatoa huduma za Home Tuition kwa wanafunzi wa:
✅ Nursery & Kindergarten
✅ Standard I–VII
✅ Form I–VI
✅ Vyuo na Vyuo Vikuu
✅ Watu wazima (Adult Education)
🎯 Tunafundisha masomo yote kwa mitaala yote, ikiwemo...
Unatafuta msaada bora wa masomo kwa mtoto wako au mwanafunzi? Karibu Elite Home Tuition – huduma ya kipekee ya kufundisha nyumbani kwa ubora wa juu!
✨ Tunatoa huduma kwa:
Watoto wadogo (KG1) hadi Form Six
Mitaala yote ya shule
Lugha za kigeni (English, French, Arabic n.k.)
Uimarishaji wa...
📚 Elimu Bora Kwa Wote – Tanzania Nzima 🇹🇿
Je, unahitaji mwalimu wa kuja nyumbani kwako kwa muda unaoutaka?
Sasa usihangaike tena!
ELITE HOME TUITION tupo kwa ajili yako.
✅ Tunatoa huduma ya kufundisha nyumbani (Home Tuition)
✅ Mwalimu anakuja muda unaotaka wewe
✅ Tunafundisha Tanzania nzima
✅...
Habari wana Jamii Forums,
Naomba kuwasilisha hii kero kwa umma na taarifa hizi zifike TAMISEMI na Wizara ya Elimu.
Kuna utaratibu mbovu sana kwa wanafunzi wanaosoma shule ya msingi Tandika iliyoko wilaya ya Temeke mkoa wa Dar Es Salaam. Wanafunzi wamekuwa wakilazimishwa kusoma masomo ya...
Anonymous
Thread
elimu
kero
kulazimishwa
mbovu
serekali
shule
tamisemi
tuition
utaratibu mbovu
wanafunzi
wizara ya elimu
Unahitaji msaada wa masomo kwa mtoto wako au wewe binafsi?
Sasa suluhisho lipo hapa! Tunatoa huduma ya Home Tuition kwa viwango vyote vya elimu nchini Tanzania.
✅ Tunafundisha mitaala yote ya Tanzania (NECTA)
✅ Masomo yote yanapatikana (Sayansi & Sanaa)
✅ Walimu wenye uzoefu na ufanisi mkubwa
✅...
Kuna mwalimu mmoja anaitwa Nandi, anafundisha Shule ya Msingi Katusa iliyopo Manispaa ya Sumbawanga Mkoa wa Rukwa anafundisha darasa la tano.
Yeye anafundisha tuition kwa shilingi 300 na mtihani 200 lakini shida yake wanafunzi wasipoenda kwa wingi anaotaka anaenda kufundisha mkondo A ambao...
Anonymous
Thread
msingi
mwalimu
shule
shule ya msingi
sumbawanga
tuition
wanafunzi
Ndugu mzazi, la sivyo unaweza kumpoteza mwanao kielimu bila
wewe kujua.
Kwa sasa tumeshuhudia changamoto nyingi katika ufundishaji wa watoto:
Mtoto anafundishwa egg lakini anapaka rangi nyekundu, ilhali hakuna yai lenye rangi hiyo.
Orange anapaka nyeusi, lakini bado mwalimu anaandika...
Mzazi au mlezi, je unajisikia maumivu kuona mtoto wako:
Hajasoma wala kuandika vizuri?
Anapata tabu kuelewa masomo darasani?
Anashuka darasani licha ya juhudi zako zote?
Anaogopa masomo au hana kabisa hamasa ya kujifunza?
Usijilaumu. Watoto hawafeli kwa sababu hawana uwezo, mara nyingi...
Je, mtoto wako: ❌ Hajui kusoma na kuandika?
❌ Ana changamoto darasani au anaachwa nyuma?
❌ Anaogopa masomo au hana msingi mzuri?
👉 USIJALI TENA!
Sisi ni walimu wabobezi wa Home Tuition, tunamfuata mtoto hadi nyumbani na kumjengea msingi imara kwa muda mfupi.
✅ TUNAPATIKANA BARA NA ZANZIBAR
✅...
Je, unahitaji mwalimu bora anayekufikia nyumbani au online?
Sisi tunatoa HUDUMA ZA HOME TUITION kote Afrika Mashariki 🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇷🇼🇧🇮🇸🇸
🔹 Mitaala yote (NECTA, Cambridge, IGCSE n.k)
🔹 Masomo yote kuanzia chekechea hadi sekondari
🔹 Lugha zote za kigeni
🔹 Mafunzo ya mtu mmoja mmoja au makundi
🔹 Online &...
Je, unatafuta mwalimu bora wa home tuition kwa mtoto wako au kwa ajili yako binafsi?
Sisi tunakuletea huduma bora, salama na za uhakika katika mikoa yote ya Tanzania
HUDUMA ZETU
Tunatoa Home Tuition kwa:
Awali (Nursery) – Msingi – Sekondari – Chuo
Mitaala yote
NECTA
Cambridge
IB
Montessori...
ATTENTION. ATTENTION ATTENTION ATTENTION
Tunahitaji walimu wa home tuition services. Maeneo malombali
1.Mwalimu wa historia na Geography(awe mmoja)
Mwalimu wa grade1(awe.mmoja)
Mqalimu wa physics advance(awe mmoja)
Location:Mwanza buswelu busenga.
2.Mwalimu wa physics,chemistry,&bios(mmoja)...
Katika Elite Home Tuition, tunatumia mbinu maalum zinazomuwezesha mtoto kuanza kuielewa na kuitumia lugha ya kigeni kwa ufanisi, kwa furaha na bila hofu. Hizi ndizo mbinu zetu bora:
1. Mazoezi ya Kusikiliza (Listening First):
Tunaanza na kusikiliza nyimbo, hadithi, na mazungumzo mafupi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.