Nyumba inapangishwa Arusha sanawari . ina vyumba viwili vya kulala na sebule na choo, jiko, bafu, store. ipo ndani ya fence ina umeme na maji karibu na barabara ya daladala. bei yake ni laki mbili na nusu kwa mwezi. kwa mawasiliano piga 0653 954094
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.