watangazaji wengine bwana!


E

Emaoi

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2013
Messages
233
Points
225
E

Emaoi

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2013
233 225
Wadau mimi jana nimekwazika sana na maneno ya mtangazaji aliyekuwa anatuwakilisha pale kwenye mazishi ya baba yetu kipenzi Dr. Mengi. huyu mtangazaji aliiambia umati kwamba hapo mzee mengi alipozikwa ndipo watakapozikwa familia yake yote. Tena akaenda mbali zaidi kwa kuwataja kwa majina kwamba mke wa mengi, abdieli, ,mapacha na Binti yetu mpendwa Regina. sasa swali langu ni moja tu , huyo mtangazaji ana uhakika gani kwamba regina atazikwa kwa baba yake na wakati huyo ni mtoto wa kike? ina maana mtangazaji ameshajiaminisha au familia imemuambia kwamba kuolewa ndio basi tena? nijuavyo mimi Regina ni binti ambaye bado anamsubiria Mungu wake amuinulie Mume wake haijalishi ana umri gani kwani tunaamini kwa Mungu hakunaga kuchelewa. huyo atapata wa kwake sana tu hao wanaosema umri umeenda ni wasiomjua Mungu. Wanaume bado tupo wengi sana tu kumbuka kuolewa sio lazima uolewe bongo hata wazungu wapo na africa kwa ujumla kuna wanaume wengi tu. pia wapo wanaume waliofiwa na wake zao na walioachana na wake zao kama kina mzee wetu mengi hivyo nao wanatafuta wake wakuwapa faraja. kuna marais, wabunge, mawaziri waliofiwa pia na wake zao hao nao wanatafuta ubavu wao tena kwa ndoa halali kabisa za kanisani. kwa hiyo huyo mtangazaji sioni kama alikuwa sahihi kusema Regina akifa atazikwa kwa baba yake. Akae akijua yupo Mungu anayeishi na siku moja tutashuhudia harusi ya regina Mengi ni suala la muda tu. Wewe mtangazaji ujue Mungu anakuona
 
N

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Messages
24,067
Points
2,000
N

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2007
24,067 2,000
Kwahiyo inaonekana, imekuuma sana juu ya Regina?!!!!
:rolleyes::rolleyes::rolleyes:
 
N

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Messages
24,067
Points
2,000
N

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2007
24,067 2,000
Kwa kuwa bidada ni meneja EATV au?
Pamoja na hayo, lakini anajua kuwa huo ukoo una "njululu" hivyo akimuoa huyo Regina atakuwa amepiga umaskini teke
 
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
31,215
Points
2,000
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
31,215 2,000
hebu nipe hiyo namba ya Regina,mbona waowaji tupo tu,kumbe binti anatafuta eeh?
 
Perimeter

Perimeter

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2015
Messages
1,233
Points
2,000
Perimeter

Perimeter

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2015
1,233 2,000
Uandishi wa kina Lemutuz unanipaga shida sana kusoma..
 

Forum statistics

Threads 1,295,454
Members 498,335
Posts 31,212,521
Top