Search results

  1. Jodoki Kalimilo

    Msaada wa ufafanuzi kuhusu kubadilisha mashitaka

    Jamani wadau wa jukwaa hili...naomba msaada kidogo kuhusu suala langu ambapo kuna mwizi aliruka fence na kuvunja kioo kimojawapo cha dirisha na kuvunja grill kwa lengo la kuingia na kuiba wakati dogo yupo kwenye pilika (mie sikai nio nje ya mji kwani nyumba ni mpya) Ila wakati anaruka kuna...
  2. Jodoki Kalimilo

    Kwanini tunatumia miwani kuangalia kupatwa kwa jua

    Wadau naomba kuuliza ni kwanini inashauriwa kuvaa miwani maalumu wakati unapoangalia kupatwa kwa jua (Solar Ecclipse) kama inavyoendelea kwa wenzetu huko UK. Nimejiuliza nimekosa jibu japokuw mpaka nikahisi au wakati unaangalia huenda jua ghafla likaachia (ile hali ya giza ikatoweka ghafla) na...
  3. Jodoki Kalimilo

    Msaada wa quote hazionekani kwenye my profile

    Habari wadau Nina shida kwenye my profile yaani kama mtu ame-reply with a quote ile quote siioni kwenye my profile japokuwa kwenye notification pale inanionyesha na niki-click kitu hakionekani kama ilivyo mwanzo badala yake zile reply with a quote napambana nazo kama ajali katika kuperuzi nyuzi...
  4. Jodoki Kalimilo

    Naomba tafsiri ya chama kuunda serikali

    Labda kabla ya kupata majibu ningependa kuonyesha namna mie ninavyoelewa kuhusu chama kuunda serikali, mie nina elewa kama ifuatavyo; Chama cha siasa kinaposhinda uchaguzi mkuu (Raisi na viti vingi vya wabunge), Raisi wa chama husika anaunda baraza lake la mawaziri na kuteua watendaji wakuu wa...
  5. Jodoki Kalimilo

    Kutochanganya siasa na utendaji kazi serikalini maana yake nini?

    Nimekuwa nikifuatilia muda mrefu kuhusu hili jambo ambalo serikali imekuwa ikisisitiza kuhusu watumishi wa serikali kutojishughulisha na siasa hasa wanajeshi wetu na viongozi wakuu wa mawizara, lakini hivi majuzi ameteuliwa mnadhimu wa Jeshi ndugu Samwel Ndomba ambae alishashika post za ukuu wa...
  6. Jodoki Kalimilo

    Imekaaje hii wadau

    Itabidi tv zetu ziwe na link na mwili ili ukijilaza kwenye sofa na yenyewe inajilaza kidogo, kasheshe mkiwa wengi sijui itakuaje
  7. Jodoki Kalimilo

    Ukweli upo wapi kuhusu mount kilimanjaro

    Nikiwa katika pilika za kupigia kura vivutio vyetu nikakutana na paragraph hiyo chini nime-copy kwenye sevennaturalwonders.org kuhusu view ya Mount Kilimanjaro maana japokuwa ninaishi huku kijijini kwetu Itabagumba lakini nimebahatika kuona view ya Mt Kilimanjaro kwa upande wa Himo, ukiwa Soweto...
  8. Jodoki Kalimilo

    Watu wapora hela na kuzitupa jijini Mwanza

    Leo majira ya mchana kuna jamaa wamepora begi la hela na kuanza kukimbia nalo katikati ya jiji la Mwanza huku wakikimbia kwenda kugawana wakati wananchi wengine wakifukuzia mchongo jamaa wakatumia mbinu ya kuchua mabunda kadhaa na kuyarusha hivyo wananchi wengine wakabaki wanagombea hela jamaa...
  9. Jodoki Kalimilo

    Naomba kueleweshwa maana ya waandishi kuigomea police

    Kutokana na kifo cha mwandishi, nilipenda kueleweshwa maana ya waandishi kugomea kuandika habari nzuri za polisi. Sasa nikiwa naangalia TV station moja nimekuta kuna habari ya Airtel na kampuni ya PUMA wameshirikiana kutoa vifaa vya siku ya usalama wa barabarani inayooanza tarehe 17 September...
  10. Jodoki Kalimilo

    Channel 10 wametishwa na serikali kuhusu kipindi maalumu cha Mwangosi

    Channel 10 siku kadhaa zilizopita walitangaza kwamba siku ya jumamosi ambayo ni leo majira ya saa 2 usiku watakuwa na kipindi maalumu kuhusu mauaji ya mwandishi wa habari Iringa, ajabu mida hii wanaonyesha kipindi cha bongo fleva hapa sijui inamaanisha nini tena au SERIKALI IMEWAPIGA MKWARA?
  11. Jodoki Kalimilo

    Ukizamia msosi unalambwa mkono

    Ukizamia msosi unalambwa mkono, ukikomaa sana unamwagiwa mafuta ya taa na kusuguliwa kwenye vumbi na ukikomaa sana unafanyiwa kama hapo kwenye picha
  12. Jodoki Kalimilo

    A book for all men to understand women

    A Book for all MEN to understand WOMEN....
  13. Jodoki Kalimilo

    Dawa ya foleni ni hii hapa

    Serikali ina mpango wa kuhamisha mzani wa agari toka kibaha kwenda vigwaza ikiwa ni sehemu ya kupunguza foleni, sidhani kama hili ni suruhisho la foleni.
  14. Jodoki Kalimilo

    Ushauri toka kwa ceo wa foundation of civil society

    Nikiwa naangalia kipindi cha uchumi kupitia ITV kuna kauli ilitolewa na CEO wa Foundation of civil Society kiukweli ilinifurahisha aliposema uchumi unapokuwa kama nchi hakuna utawala bora maana yake wananchi wataendelea kubaki katika umaskini kwa kuwa kunakuwa hakuna uwazi kuhusu matumizi ya...
  15. Jodoki Kalimilo

    Bungeni Leo: Juni 29, 2012

    Ndugu Lukuvi anawasilisha hoja ya serikali kufanya mazungumzo na NSSF ili wajenge ofisi ya kila mbunge jimboni na ameinda zaidi kwa kusema mbunge ni taasisi hivyo kuna haja ya kila mbunge awe na wasaidizi wake wanne ambapo serikali inategemea kuajiri mwaka huu wa fedha kilichonishangaza pale...
  16. Jodoki Kalimilo

    Alilonena Waziri Wasira leo bungeni kama lingetekelezwa kwenye sekta ya madini nadhani ingekuwa poa

    Waziri Wasira alipokuwa anazungumzia kuhusu kutenga maeneo ya uwekezaji wa kilimo cha miwa alisisitiza kuhusu umuhimu wa wawekezaji kushirikisha wananchi wanaozunguuka mashamba ya wawekezaji (out growers) ili na wao waweze kunufaika. Nikajiuliza kama serikali imeliona hili kwanini na katika...
  17. Jodoki Kalimilo

    Ccm wamsukia zengwe millya

    KWENYE SIASA WATU WAZIMA WANAKUWA KAMA WATOTO SOMETIMES MAANA HAPO CHINI INANIKUMBUSHA ENZI ZILE ZA MTOTO MWENZAKO UKIGOMBANA NAE MABAYA YOTE ANAYAWEKA WAZI ENZI ZILE MULIPOKUWA NA AMANI, SASA HAPA MIAKA IMEPIATA MINNE NA WAMESUBIRI JAMAA AMETIMKA NDIO WANASEMA, KWA WATU MAKINI UVCCM ARUSHA...
  18. Jodoki Kalimilo

    Analysis ya Wanasiasa Vifo vya Magonjwa na Mgomo wa Madaktari

    Ukiwa mwanasiasa hasa Tanzania, usipokuwa makini hata kama una PHD uwezo wako wa kuainisha mambo unakuwa wa chini kushinda wazee wa kimila ambao role yao ni kushauri jamii yao. Wiki iliyopita nilikuwa nasikiliza bunge nikashangaa kumsikia naibu waziri akisema mgomo wa madaktari haukusababisha...
  19. Jodoki Kalimilo

    Idara ya adhi mwanza na urasimu wa viwanja na rushwa

    Wana JF embu tusaidiane kuleta mabadiliko katika idara hizi za serikali, kuna ndugu yangu anamilki kiwanja cha kupima Buswelu ambacho alikinunua tangu mwaka 2006 na kwa mujibu wa utaratibu wa viwanja vya kupima halmashauri na idara mbalimbali zinatakiwa zilete huduma za msingi kama maji, umeme...
Back
Top Bottom