Watu wapora hela na kuzitupa jijini Mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watu wapora hela na kuzitupa jijini Mwanza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jodoki Kalimilo, Sep 17, 2012.

 1. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,621
  Likes Received: 2,042
  Trophy Points: 280
  Leo majira ya mchana kuna jamaa wamepora begi la hela na kuanza kukimbia nalo katikati ya jiji la Mwanza huku wakikimbia kwenda kugawana wakati wananchi wengine wakifukuzia mchongo jamaa wakatumia mbinu ya kuchua mabunda kadhaa na kuyarusha hivyo wananchi wengine wakabaki wanagombea hela jamaa wakasepa. Nimeiweka kwenye tetesi kwa kuwa sijathibitisha kwa undani japokuwa nilikuta tukio limefanyika dakika kadhaa zilizopita huku wananchi wakijadili hili tukio, labda wenye habari kamili watujuze maana sijaiona hii habari hasa kwa Star tv
   
 2. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 771
  Trophy Points: 280
  kalale
   
 3. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,621
  Likes Received: 2,042
  Trophy Points: 280
  Ndio naamka baada ya kulala
   
 4. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Mwanza kubwa mtaa gani duka gani wamekimbilia maeneo gani.
   
 5. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,129
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Mijitu mengine mnakera.
  Mwenzio kaweka post afu we unamwambia akalale.
  Kama hutaki kuchangia ACHA!!
  Au unataka uonekane nawe unajua kuitumia JF?
  Hovyoo!!
   
 6. Mjanga

  Mjanga JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 1,245
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  DUUUUUUUUUUUUU, e bibieee!

   
 7. B

  Baba Matatizo JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2012
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Bado Hujapata full news?
   
 8. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,129
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280

  Mjanga unadhani!
  Yani mtu kakuletea habari nawe ni hiari yako,uisome na kuichangia au uisome na kuipotezea.
  Lakini utakuta jitu kwa makusudi linatoka huko na kumkatisha tamaa mleta mada kwa kubandika utumbo wake.
  Inakera sana hii mijamaa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #9
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,621
  Likes Received: 2,042
  Trophy Points: 280
  Maeneo ya Liberty (maeneo ya duka la Semira kuvuka kadaraja ka kuelekea ofisi za Akamba) mitaa hiyo ndio nilikuta watu wamejaa wanazungumzia hilo tatizo ila kwa kuwa sikuwa na detailed information nika-post kama tetesi ili wenye full mkanda watiririke kwani ni kweli watu walikuwa kwende makundi wakijadili kwa mshangao (ila inasemekana ziliibiwa duka moja wakala wa Airtel Money hapo hapo mtaa wa Liberty)
   
 10. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #10
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,084
  Likes Received: 601
  Trophy Points: 280
  hii ingefaa iitwe umbea! lisema ulikuta tayar, basi huu ni umbea
   
 11. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #11
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,621
  Likes Received: 2,042
  Trophy Points: 280
  Sikufanya conclusion ndio maana nikasema kama mtu ana information za ziada atujuze maana kukuta watu wamekaa kwenye vikundi vikundi sio justification ya tukio limetokea kweli ndio maana nikaweka tetesi. Iliwahi tokea Dar miaka mingi iliyopita story za MTU JOKA na kila ukipita unakuta watu wanasema amepita mtaa ule wakati hakuwepo. Ningekuwa na full data nisingeweka tetesi kwa kuwa vyanzo vya habari vilivyokuwepo vilikuwa katika simulizi ya tukio lililopita ambalo sikulishuhudia
   
 12. Mjanga

  Mjanga JF-Expert Member

  #12
  Sep 21, 2012
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 1,245
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Ndiyo jukwa! muda mwingine tunalazimisha uvumilivu!

   
Loading...