Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,045
- 10,226
Wadau naomba kuuliza ni kwanini inashauriwa kuvaa miwani maalumu wakati unapoangalia kupatwa kwa jua (Solar Ecclipse) kama inavyoendelea kwa wenzetu huko UK. Nimejiuliza nimekosa jibu japokuw mpaka nikahisi au wakati unaangalia huenda jua ghafla likaachia (ile hali ya giza ikatoweka ghafla) na kutoka mwanga mkali ghafla na kusababisha macho kuharibika au linapopatwa ukali wa mionzi unaongezeka nguvu? Wajuzi wa mambo nielimisheni