Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,673
- 11,343
Habari wadau
Nina shida kwenye my profile yaani kama mtu ame-reply with a quote ile quote siioni kwenye my profile japokuwa kwenye notification pale inanionyesha na niki-click kitu hakionekani kama ilivyo mwanzo badala yake zile reply with a quote napambana nazo kama ajali katika kuperuzi nyuzi za watu wengine pia hata zile quote nazo-reply pia hazionekani. Quote za mwisho kupokea na zimebaki kwenye my profile ni zile za July 28 kutoka kwa CHUAKACHARA , EMT , Abunuas , Alexandry Nemes , na Dark City , zingine zote za nyuma zipo kasoro za kuanzia tarehe 29 July mpaka leo na nimejaribu kwenda kwenye setting bila mafanikio, msaada tafadhari

Last edited by a moderator: