Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,013
- 10,170
Jamani wadau wa jukwaa hili...naomba msaada kidogo kuhusu suala langu ambapo kuna mwizi aliruka fence na kuvunja kioo kimojawapo cha dirisha na kuvunja grill kwa lengo la kuingia na kuiba wakati dogo yupo kwenye pilika (mie sikai nio nje ya mji kwani nyumba ni mpya)
Ila wakati anaruka kuna mwanamama jirani alimwona hivyo akawaambia vijana wakaizingira nyumba na kuomba rukhsa kuingia nami nikawaruhusu na wakafanikiwa kumkamata na kumkabidhi kwa kuongozi wa mtaa yaani mwenyekiti na mtandaji kisha dogo. Amepelekwa polisi na amelala siku 3 rumande na leo amepelekwa rumande na amesomewa shitaka la "KUVUNJA DIRISHA KWA NIA YA KUIBA" kesi itasomwa tena wiki ijayo.
Swali langu hilo shitaka hilo juu linatosha ama ilipaswa kuwa KURUKA UZIO (FENCE) NA KUVUNJA DIRISHA KWA NIA YA KUIBA? au kuna shitaka lingine linapaswa kuandikwa badala ya hilo? na je kuna uwezekano wa kubadilisha shitaka? kama kuna uwezekano wa kubadilisha mashitaka ni hatua zipi za kufuata?
Nawashisilisha
CC: Petro E. Mselewa
Dragoon