DOKEZO Achana na kunguni, UDOM ina vyoo vichafu sijawahi kuona

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Aug 31, 2023
13
51
Nimehitimu chuo kikuu cha Dodoma hivi punde, lakini mazingira tuliyokuwa tunaishi pale chuoni hakika yanasikitisha.

Colleges nyingi za pale UDOM kuna changamoto kubwa ya usafi chooni na ukiachilia mbali suala la usafi ila maintenance kwenye vyoo vya UDOM ni hovyo kabisa. Wanafunzi wanalipa ada na kutimiza majukumu yao mengine ila nashangaa Sana kwanini uongozi hauzingatiii maeneo nyeti Kama maliwatoni.

Ukiwa mgeni ukaanza kutembea kwenye viunga mbalimbali kwa nje utavutiwa na majengo lakini ukiingia kwenye vyoo vya hosteli hali ni mbaya Sana. Yaani hadi hosteli zinanuka mikojo na mavimavi tu. Hii sio sawa hata kidogo na ni aibu kwa chuo kikubwa kama kile kushindwa kuhimili na kukarabati vyoo mara kwa mara.

Ukienda chooni kwanza sahau kuhusu kukuta maji, yaani maji ni hadi utoke hosteli uende kuchota mita kadhaa toka umbali wa hosteli zilipo upande ngazi na ndoo yako ndio ukanye au ukafanye mengine. Nahisi dada zetu huwa wanapata kadhia sana kuhusu usafi wao binafsi wanapotumia vyoo.

UDOM mnakera aisee, mmekanusha la kunguni na hili najua mtakanusha ila chuo chenu kina vyoo VICHAFU

"We embracing knowledge" knowledge my foot wakati hata knowledge ya kukarabati vyoo hamna.
 
Nimehitimu chuo kikuu cha dodoma hivi punde, lakini mazingira tuliyokuwa tunaishi pale chuoni hakika yanasikitisha.

Colleges nyingi za pale UDOM kuna changamoto kubwa ya usafi chooni na ukiachilia mbali suala la usafi ila maintenance guni na hili najua mtakanusha ila chuo chenu kina vyoo VICHAFU

"We embracing knowledge" knowledge my foot wakati hata knowledge ya kukarabati vyoo hamna.
Hapo tatizo ni nyie watumiaji kama hamjiheshimu ,mnakunya kunya ovyo juu ya masink,unajisaidia humwagi maji/flash Mwanachuo analewa anatapikia chooni hasafishi

Unategemea nani aje akufanyie usafi ? Yaani jitu zima linatua Mzigo wake alafu unategemea Dada wa Usafi aje azoe,umelogwa au?😇hakuna kazi ngumu kama kusafisha Mzigo wa Mtu Mzima,ni shidaa 😁😁

Baadhi ya wanavyuo chuoni ni wachafu sana,hawana ustaarabu
 
Hapo tatizo ni nyie watumiaji kama hamjiheshimu ,mnakunya kunya ovyo juu ya masink,unajisaidia humwagi maji/flash
Mwanachuo analewa anatapikia chooni hasafishi

Unategemea nani aje akufanyie usafi ?

Baadhi ya wanavyuo chuoni ni wachafu sana,hawana ustaarabu
Sawa SUA,l wanasoma mbwa, ifm wanasoma kuku, Jordan wanasoma mbuzi, mzumbe wanasoma makondoo ila UDOM pekeake ndo Kuna wanafunzi wachafu
Unaumwa wewe sio bure
 
Mkuu uko sahihi 100%, UDOM ni chuo cha Ovyo sana kuhusu usafi yaan wako zero kabisa,, nalithibitisha hili kipindi nikiwa nahangaikia Ajira(kazi) pale PSRS nilifikia hostel za CBSL kwa mshikaji wangu,, hakika nilistaajabu sana yale mazingira niliyoyakuta kwenye vile vyoo pale hostel,, vyoo ni vichafu mno halafu vinatoa hadi mafunza,, yaan unaweza kuwa na haja ndogo au kubwa Ila ukiingia kwenye vile vyoo mzuka unapotea kabisa. Niliishi hapo siku 4 mpaka namaliza saili zangu ila zilikuwa ni siku 4 za moto sana,, siku niliyomaliza Oral interview japo ilikuwa ni jioni sana Ila niliamsha siku hyohyo kuelekea Nanenane kudaka bus za kurudi kwangu Mkoa..

Hapa chini ni baadhi ya mambo yanayochangia Hali hyo hapo UDOM.

# Uhaba wa maji: Kwa wanafunzi wanaoishi floors za juu mifumo ya maji hairuhusu kutoa maji hivyo inawalazima kushuka chini kwenda kuteka maji,, hii inachangia wanafunzi wengi kushindwa kustahimili suala la usafi vyooni na vyumbani.

# Idadi kubwa ya wanafunzi:
# Uongozi wa chuo kutojari ufanyikaji wa Matengenezo madogomadogo(Repair)
# Wanafunzi wa UDOM ni wachafu, japo vyuo vingi Iko hivyo kutokana population Ila UDOM mmezidi(Mnaongoza kwa uchafu)

Na vitu vingine kama hivyo..
"UDOM KUNATIA AIBU SANA"
Kwanini Kila kitu na Kila siku ni ninyi tu..?
 
Nimehitimu chuo kikuu cha dodoma hivi punde, lakini mazingira tuliyokuwa tunaishi pale chuoni hakika yanasikitisha.

Colleges nyingi za pale UDOM kuna changamoto kubwa ya usafi chooni na ukiachilia mbali suala la usafi ila maintenance kwenye vyoo vya UDOM ni hovyo kabisa. Wanafunzi wanalipa ada na kutimiza majukumu yao mengine ila nashangaa karabati vyoo hamna.
Uchafu wa vyoo huanzia na uchafu wa wanafunzi kutumia mabunzi ya mahindi, wanafunzi wa zamani hawakuwa wachafu kama wa sasa na si hao tu hata maofisini na tulishuhudia uwanja wa Mkapa watu wakikojoa kwenye kuta ndani ya uwanja na wengine haja kubwa kwenye sinki la kunawia mikono.
 
Mkuu uko sahihi 100%, UDOM ni chuo cha Ovyo sana kuhusu usafi yaan wako zero kabisa,, nalithibitisha hili kipindi nikiwa nahangaikia Ajira(kazi) pale PSRS nilifikia hostel za CBSL kwa mshikaji wangu,, hakika nilistaajabu sana yale mazingira niliyoyakuta kwenye vile vyoo pale hostel,, vyoo ni vichafu mno halafu vinatoa hadi mafunza,, yaan unaweza kuwa na haja
Kwanini Kila kitu na Kila siku nyingi tu..?
Tabia za wanafunzi zinafanana maeneo yote ila jukumu la kwanza ni uongozi kusimamia utunzwaji wa mazingira na ukarabati wa mara kwa mara haya mambo mengine hukaa sawa yenyewe
 
Bingwa hauna ka picha hapo ka kusindikizia validity ya bandiko lako?

Anyway kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi..
Wife alikua anasoma hapo lakn kutokana na hyo mazingira machafu ikabd ahamie ngwea easily. Ndo ntolee mpka leo.
 
Mkuu uko sahihi 100%, UDOM ni chuo cha Ovyo sana kuhusu usafi yaan wako zero kabisa,, nalithibitisha hili kipindi nikiwa nahangaikia Ajira(kazi) pale PSRS nilifikia hostel za CBSL kwa mshikaji wangu,, hakika nilistaajabu sana yale mazingira
Kwanini Kila kitu na Kila siku nyingi tu..?
Sahihi kabisa, hili tatizo la ukosefu wa maji ndio kiini cha yote hayo
 
Nimehitimu chuo kikuu cha dodoma hivi punde, lakini mazingira tuliyokuwa tunaishi pale chuoni hakika yanasikitisha.

Colleges nyingi za pale UDOM kuna changamoto kubwa ya usafi chooni na ukiachilia mbali suala la usafi ila maintenance

"We embracing knowledge" knowledge my foot wakati hata knowledge ya kukarabati vyoo hamna.
Kuna vyoo vichafu au Kuna wachafua vyoo waliobobea! Vyoo havijengwi vichafu ,vinachafuliwa!
 
Mkuu baada ya kukupa degree umeamua kuwatukana kua ni wachafu?! Ngoja waje wakuvue joho lao siku ya graduation
 
Nimehitimu chuo kikuu cha dodoma hivi punde, lakini mazingira tuliyokuwa tunaishi pale chuoni hakika yanasikitisha.

Colleges nyingi za pale UDOM kuna changamoto kubwa ya usafi chooni na ukiachilia mbali suala la usafi ila maintenance kwenye vyoo vya UDOM ni hovyo kabisa. Wanafunzi wanalipa ada na kutimiza majukumu yao mengine ila nashangaa Sana kwanini uongozi hauzingatiii maeneo nyeti Kama maliwatoni.
Ukiwa mgeni ukaanza kutembea kwenye viunga mbalimbali kwa nje utavutiwa na majengo lakini ukiingia kwenye vyoo vya hosteli hali ni mbaya Sana. Yaani hadi hosteli zinanuka mikojo na mavimavi tu. Hii sio sawa hata kidogo na ni aibu kwa chuo kikubwa kama kile kushindwa kuhimili na kukarabati vyoo mara kwa mara.
Ukienda chooni kwanza sahau kuhusu kukuta maji, yaani maji ni hadi utoke hosteli uende kuchota mita kadhaa toka umbali wa hosteli zilipo upande ngazi na ndoo yako ndio ukanye au ukafanye mengine. Nahisi dada zetu huwa wanapata kadhia sana kuhusu usafi wao binafsi wanapotumia vyoo.

UDOM mnakera aisee, mmekanusha la kunguni na hili najua mtakanusha ila chuo chenu kina vyoo VICHAFU

"We embracing knowledge" knowledge my foot wakati hata knowledge ya kukarabati vyoo hamna.
Hilo la vyoo siyo UDOM tu ni Tanzania nzima, Mtanzania hana kabisa utamaduni wa kuweka usafi wa vyoo.

Elimu kubwa sana kwa vitendo inahitajika hapo.
 
Back
Top Bottom