DOKEZO Uchafu na ubovu wa vyoo vya leaders club DSM

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Los santos

JF-Expert Member
Jan 14, 2021
964
2,042
Siku kadhaa nyuma nilipata kutembelea eneo la leaders club aisee uchafu niliokuta na miundombinu chakavu ni Ile Ile ambayo niliiacha miaka ya 90 Hadi mwanzoni mwa 2000 kuendelea mpaka 2013-2015 nilipodhuru eneo hilo Hadi wiki hii ya November 2023.

Kwa kweli vyoo ni vichafu ambapo binadamu mwenye akili timamu na dhamana ya kusimamia Hilo eneo hawezi kupaacha pakiwa pachafu hivyo.

Swali la kujiuliza uongozi hauoni uchafu huo ambao umeota Hadi sugu? Je eneo linasimamiwa na mtu binafsi au serikali? Ila kwa haraka haraka jibu sio mtu binafsi manake watu binafsi wanakuwaga smart sana kwenye kutunza private properties.

Ivi hapa wakija watu wa bara la nje ya Africa wakianza kututukana kweli tutajitetea? Eneo limekaa very strategic aisee na ni very potential lakini uchafu na miundombinu yake huwezi linganisha na brand ya Hilo eneo.

Hivi waafrika ni tumerogwa au tumelaaniwa?

IMG_20231128_115532_613.jpg
 
Back
Top Bottom