DOKEZO Nyie Wahudumu Hospitali ya Bombo Kitengo cha Emergency acheni majibu ya dharau

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Mimi ni mkazi wa Tanga, hapa kwetu kuna kero moja kubwa ambao binafsi naona inaweza kuwa inawagusa watu wengi kwa maana ambao wanaumia au wanakwazwa na kinachofanyika.

Ni kuhusu Hospitali ya Rufaa Bombo hasa Kitengo cha Emergency, kwani kuna uzembe mkubwa sana unaofanywa na wahusika wa kitengo hicho wanaotoa huduma.

Watoa huduma ni wengi lakini utendaji kazi wao hauridhishi, majibu ya watoa hudumu hao ni ya dharau na kutojali watu, ukifika hapo ni kama vile umeenda kuomba msaada wakati wao wapo kwenye majukumu yao.

Simaanishi lazima wasikilize kwa kunyenyekea mahitaji ya wanaofika hapo lakini aina ya majibu yao ni ya dharau na kutojali hali wanazopitia watu wanaofika eneo hilo iwe ni wagonjwa au waliosindikiza wenzao waliopata majanga.
 
Ebooo!!!!! kuna ka bwana mdogo hapo nikadogo kangu tena kapo hapo kitengo cha dharura. Ngoja nikasukumie huu uzi kajibu mashtakaaa
 
Ndivyo tulivyo baadhi ya watu weuc tukishapata uwakikaa wa kazi
 
Mimi ni mkazi wa Tanga, hapa kwetu kuna kero moja kubwa ambao binafsi naona inaweza kuwa inawagusa watu wengi kwa maana ambao wanaumia au wanakwazwa na kinachofanyika.

Ni kuhusu Hospitali ya Rufaa Bombo hasa Kitengo cha Emergency, kwani kuna uzembe mkubwa sana unaofanywa na wahusika wa kitengo hicho wanaotoa huduma.

Watoa huduma ni wengi lakini utendaji kazi wao hauridhishi, majibu ya watoa hudumu hao ni ya dharau na kutojali watu, ukifika hapo ni kama vile umeenda kuomba msaada wakati wao wapo kwenye majukumu yao.

Simaanishi lazima wasikilize kwa kunyenyekea mahitaji ya wanaofika hapo lakini aina ya majibu yao ni ya dharau na kutojali hali wanazopitia watu wanaofika eneo hilo iwe ni wagonjwa au waliosindikiza wenzao waliopata majanga.
Dokezo hili liende Moja kwa Moja bila kupinda kona kwa Dr. Naima Zakaria. (MOI- BOMBO) {Uione kwe ye Jalada) Leo umefikiwa..
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Unaona watumishi wako ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…...

Ila mkuu Nikutoa wasi kwamba Wengi Wenye Tabia hiz ni Intern..
kuna Incharge wa Idara Hiyo yule Mdada ungemuona Angekupa Muongozo vizuri..

Ila pia Idara hiyo hiyo Ya EMD (Emmegency Department) Kitengo cha TREATMENT kuna Tatizo aisee Madaktari hawakai kwenye Vyumba Vyao Uende asubuhi mpaka jioni Chumba Namba 1 mpaka namba 4 vyote havina Daktari ukiuliza unaambiwa katoka kidogo....
Tangu asubuhi mpaka Jioni katoka kidogo?

na akirudi anakaa nusu saa kibati tena ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
BOMBO raha sana..

Mara Mia ya kitengo cha Resuscitation kidgo wako Active.....
 
Ebooo !!!!! kuna ka bwana mdogo hapo nikadogo kangu tena kapo hapo kitengo cha dharura. Ngoja nikasukumie huu uzi kajibu mashtakaaa
Dokezo hili liende Moja kwa Moja bila kupinda kona kwa Dr. Naima Zakaria. (MOI- BOMBO) {Uione kwe ye Jalada) Leo umefikiwa..
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Unaona watumishi wako ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…...

Ila mkuu Nikutoa wasi kwamba Wengi Wenye Tabia hiz ni Intern..
kuna Incharge wa Idara Hiyo yule Mdada ungemuona Angekupa Muongozo vizuri..

Ila pia Idara hiyo hiyo Ya EMD (Emmegency Department) Kitengo cha TREATMENT kuna Tatizo aisee Madaktari hawakai kwenye Vyumba Vyao Uende asubuhi mpaka jioni Chumba Namba 1 mpaka namba 4 vyote havina Daktari ukiuliza unaambiwa katoka kidogo....
Tangu asubuhi mpaka Jioni katoka kidogo?

na akirudi anakaa nusu saa kibati tena ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
BOMBO raha sana..

Mara Mia ya kitengo cha Resuscitation kidgo wako Active.....
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Mimi ni mkazi wa Tanga, hapa kwetu kuna kero moja kubwa ambao binafsi naona inaweza kuwa inawagusa watu wengi kwa maana ambao wanaumia au wanakwazwa na kinachofanyika.

Ni kuhusu Hospitali ya Rufaa Bombo hasa Kitengo cha Emergency, kwani kuna uzembe mkubwa sana unaofanywa na wahusika wa kitengo hicho wanaotoa huduma.

Watoa huduma ni wengi lakini utendaji kazi wao hauridhishi, majibu ya watoa hudumu hao ni ya dharau na kutojali watu, ukifika hapo ni kama vile umeenda kuomba msaada wakati wao wapo kwenye majukumu yao.

Simaanishi lazima wasikilize kwa kunyenyekea mahitaji ya wanaofika hapo lakini aina ya majibu yao ni ya dharau na kutojali hali wanazopitia watu wanaofika eneo hilo iwe ni wagonjwa au waliosindikiza wenzao waliopata majanga.
Waambie waache ujinga maana waziri mhusika Ni mdigo wa hapo hapo mjini. Tena ungempigia simu muda huu tunaoongea Kuna mtu angepata uhamisho wa kwenda Kilindi au Handeni.
 
Finias Elias wa Bukoba Kagera mi nshawahi kushuhudua rafiki yangu akifiwa na mtoto wake kipenzi katka hospitali ya mkoa wa Kagera kwa kukosa damu na watu tuliojitolea kutoa damu tupo zaidi ya wa4 ila wahudumu wakiws wanazunguka huku mara kule hawataki kututoa damu baadae wakatoweka kabisa.ila mtoto alivofariki tuloshangaa mpaka madaktari walikuja wakikimbia
 
Siyo huko tu, na hospital ya sinza palestina pia, nilimpoteza mlezi wangu kisa daktari wa dharura hayupo toka saa kumi na mbili adubuhi mpk saa mbili ndo kaja, mlezi alishapoteza maisha. Siyo Siri, yule daktari ilibidi anifukuze maana sijui ningemfanya nini.
 
Waambie waache ujinga maana waziri mhusika Ni mdigo wa hapo hapo mjini. Tena ungempigia simu muda huu tunaoongea Kuna mtu angepata uhamisho wa kwenda Kilindi au Handeni.
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Sasa Kilindi kuna Hospitali ya Rufaa Mkuu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Back
Top Bottom