<br />
<br /
unajua sikuelewi, ulishinikizwa na mkeo kuleta post hii ili kumdhihirishia upendo au nin wewe ambaye kwenye mahusiano yenu unadhani umebahatika? ni mapema_ungepeleka cheleko cheleko Tbc , hapa ungekuja kwa jubilei ya some years
wife wangu ni form 4 na mama wa house_kingaste ni std seven na tajir kwel kwel_hata cku moja ckuweza kujua the gap btn wife na kingaste _cku moja nikamuomba ruhusa wife ili nitoke alone kwa mising kuwa naenda kwny official party kumbe namtoko na kinganste_lakn kwa kuwa wife ni st kayumba...
nachofaham_jamaa anafanya biashara ya kokoto, mchanga na kifusi pale kunduch na ameanza kama dalali lakn alipata kubwa akanunua lori na kwa kwel ni mchapakaz_sasa kafungua ofis na kaongeza malori, anapenda sana misifa hasa kupaishwa kwny muziki. Ni opportunist wa maana
navyokumbuka wewe ulikuwa unakalia kigogo kwa nyuma lakn siku hz umeamua kuparamiwa kule kwa mtoro_leo hii na wewe una weza zungumza, ama kwel ? Tutakukabidh shababi mwingne
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.