Kijana akamatwa akiiba pikipiki jengo la ips!!

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054





Kijana Juma Ally akiwa chini ya ulinzi wa makachero wa polisi mara baada ya kukamatwa akiiba pikipiki yenye namab za usajiri T 941 ASD iliyokuwa imeegeshwa katika jengo la IPS mchana huu ambapo alitumia bisibisi kuiwasha pikipiki hiyo , hata hivyo kabla ya kuondoka walinzi wa jengo hilo walimshtukia, wakamata na kumuweka chini ya ulinzi kisha wakatoa taarifa katika kituo cha polisi kati.
Mmiliki wa pikipiki yenye namba za usajiri T 941 ASD hakufahamika mara moja jina lake akiwaambia polisi kwamba kachero aliyembeba kwenye pikipiki yake hana Kofia maalum ya kuzuia kuumia (Element) wakati walipokuwa wakielekea kituo cha polisi kati kwa mahojiano na hatua zaidi zitakazochukuliwa dhidi ya mwizi wa pikipiki yake.
Kijana mwizi wa Pikipiki Ally Juma miaka 29 akiwa chini ya ulinzi wa makachero baada ya kukamatwa akiiba pikipiki katika jengo la IPS jijini Mchana huu.​
 
Mbona hakuna mahali pameandikwa ni ustaadh, au shauri kaitwa Ally Juma ndio maana ukaandika kwa herufi kubwa?, ama kweli Tanzania sasa tunakoelekea sijui ni wapi,Kikwete hii inakula kwako
 
Yakhe bado wakalia kigogo wakalia kigogo kwa nyuma au waparamiwa hapo IPS? Miye ustadh Juma nalitaka nikupe namba yangu wasemaje?
 
Habari ni OK, pamoja na picha
Lakini huo U-ustaadh wake uko wapi kijana kibaka huyu.
Na hapo ndo unapoteza habari yako
Vile vile ile kofia inaitwa HELMET na sio ELEMENT, umakini mkuu
 
hilo askari linaelimishwa livae helmet naona linamjibu jamaa"hebu endesha wewe rofa wacha kuleta ufara nitaku arrest nawewe"
 
Ustaadh au HANDSAME ALLY JUMA AKAMATWA AKIIBA PIKIPIKI JENGO LA IPS!?

Habari hii ni ya mwaka gani mkuu!?
Wednesday, October 7, 2009


Umeipata wapi, nitakusaidia Gonga HAPA
 
Ustaadh au HANDSAME ALLY JUMA AKAMATWA AKIIBA PIKIPIKI JENGO LA IPS!?

Habari hii ni ya mwaka gani mkuu!?
Wednesday, October 7, 2009


Umeipata wapi, nitakusaidia Gonga HAPA

Date does'nt matter. TABIA CHAFU YENU NDIO TATIZO HAPA. KWANINI waislam ni wezi. Hilo ndilo tatizo, UDOKOZI NA WIZI. Usifikiri utapidisha mada bana, nini bana veve.
 
Acha povu weye. Vipi hivi kuna ustaadh wa KIKE kama weye? Ha ha ha ha ha ha ah aha.

Wa kike huitwa Ustadhat.

Naomba uelewe maana ya ustaadh, neno ustadi la kiswahili limetokana na neno hilo. Kama wewe sijui ustadi ako ni upi?
 
Wa kike huitwa Ustadhat.

Naomba uelewe maana ya ustaadh, neno ustadi la kiswahili limetokana na neno hilo. Kama wewe sijui ustadi ako ni upi?

Ustadi wenu ni kuiba, sio! Weye unakuja hapa kutujuza ilmu ya wizi. Astakafulah,
 
Back
Top Bottom