LATTICE BOND
JF-Expert Member
- May 30, 2011
- 219
- 48
Kumbukumbu zinaonyesha kwamba aliyebuni jina la Tanzania alifanya yafuatayo:-
1. alichukua herufi tatu za mwanzo kwa TanganyIkA na zile za ZanzIbAr
2. Ilifuatiwa na kuchukua herufi zoote zilizopo pande mbili za muungano pasipo kujirudia [yaani I na A. ukiziangalia zipo pande zote mbili ya muungano na hazijaandikwa kwenye ama TAN au ZAN
Hivyo kutokana na ubunifu wa huyo mtu kama ingetokea kuna herufi nyingine ilofanana pande zote mbili then huenda jina la Tanzania lisingesomeka jinsi lilivyo.
Huo ndiyo ukweli ulowekwa kwenye kumbukumbu za Taifa. huenda mtoa maada utakimbilia kusema aliye toa huo ubunifu ni mkristu ndio sababu ule wa Aqbal haujawekwa lakini wazo hilo si kweli pia kwani aliyebuni hilo Jina kwa Mtindo huo ni Mzanzibar aliye muislam pure [Bahati mbaya simkumbuki jina kwa sasa].