Huyu mbunge mmmhhh sijui!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu mbunge mmmhhh sijui!!!!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by suranne, Jun 9, 2011.

 1. s

  suranne Member

  #1
  Jun 9, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 34
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Kwa kweli na kama kweli CHADEMA mmeamua kufanya kazi naomba huyu mbunge wetu wa Ukerewe aangaliwe au afundwe maana ndani ya muda mfupi amekuwa hajiheshimu kwa kulewa ovyo na kugombea wanawake baa nafikiri si weledi unaopiganiwa na chama chake,pia hatukatai kufanya maboresho kwao au kwake ila is too early kununua magari na nyumba lukuki kabla hata hujatatua japo ahadi yako uliyoahidi wananchi Slaa alivyokuja ya kununua jokofu la hospitalini katika mshahara wako wa kwanza bungeni.
  MY TAKE; Kuna uwezekano mkubwa jimbo ukaliuza kwa kutokua makini na mambo madogo kama hayo maana baba mzuri hawezi kulewa wakati watoto wanalaa njaa.
  Naomba kuwasilisha.:smash:
   
 2. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Pumpa tupu kajipange urudi tena no facts... shortly ni taarabu
   
 3. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  nadhani chadema wana tabia ya kuupuzia habari kama hizi na kusema ni personal isue. sasa sidhani kama ni mtizamo sahihi.kwani mimi ninavyojua kiongozi anakuwa ni kiigizo chema katika jamii inayomzunguuka. kwahiyo ukisha kuwa na kiongozi mzinifu usidhani kuwa ipo siku atakemea uzinifu au uwe na kiongozi mlevi halafu utegemee atakemea ulevi. Kaka mtoa mada ivi ni kweli hizo tabia za huyo mbunge zimeanza baada ya nyinyi kumpa uongozi? hilo jimbo tena chadema walisha lipoteza.
   
 4. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  kaka huyu umemuonea. huyu kaleta taarifa wewe zifuatilie ujue kama ni kweli au uzushi, kwani kama ni za kweli kwa management ya chama hii si taarifa nzuri, ila wewe umekurupuka kumshambulia bila kuichukua hii taarifa kama starting point ya kumjua mbunge huyo. Au wewe umeona hizo ni sifa za kawaida kwa wabunge wa chadema?
   
 5. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Noted,sishangai for sure!
  Ni sawa angeshinda Mwita waitara kule tarime awe mbunge,...
  weeeeeeeeeee,....
  Angekua anajikojolea hadi bungeni kwa jinsi anavo lewa,....
   
 6. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Noted,sishangai for sure!
  Ni sawa angeshinda Mwita waitara kule tarime awe mbunge,...
  weeeeeeeeeee,....
  Angekua anajikojolea hadi bungeni kwa jinsi anavo lewa,....
   
 7. Juaangavu

  Juaangavu JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2011
  Joined: Nov 3, 2009
  Messages: 916
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Huko CDM fuatiliye hilo suala, kisha mmpe ushauri nasaha.
  Mtoa taarifa amefanya kazi kwa sehemu yake, kumshambulia haisaidii.
   
 8. N

  Nkomoji JF-Expert Member

  #8
  Jun 9, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ninakumbuka Mh.Mbowe wakati wa mazishi ya watu waliouawa kikatili(R.I.P)kule Arusha alisema"...tutapinga viongozi wabovu kokote iwe CCM,CDM Kwa sababu hata ndani ya Chadema kuna viongozi wabovu tutawapinga..."Mi naona jambo lifanyiwe uchunguzi kama ni ukweli basi Mh. Mbunge huyo ashauriwe!si kila kitu kilicho na negative impact kwa CDM eti ni pumba.Critical thinking haiendi hivyo!
   
 9. S

  SURNAME Member

  #9
  Jun 9, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inahitajika moyo wa ujasiri kuwakosoa viongozi wa CDM,wanachama na wapenzi wa CDM tunaamini viongozi wetu wote ni malaika,miungu hawawezi kukosea,hatari yake tutarudi ktk enzi za zidumu fikra za m/kiti.Hii inatakiwa kuwa changamoto kwetu,tukubali kukoselewa.
   
 10. chipanga

  chipanga JF-Expert Member

  #10
  Jun 9, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 661
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  Nilikuwa huko 2weeks ago, the info iz true, jaama anaharibu ile mbaya, hata wananchi wanamchukulia km mtu fulani wa vituko, anahitaji kurekebishwa kwa kweli otherwise 2015 jimbo litapotea lile.
   
 11. u

  umtwale Member

  #11
  Jun 9, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  pompo pompo means empty or weak head
   
 12. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  Je kashafumaniwa au kushitakiwa?alikunywa pombe akafanya kosa ambalo lilipelekea kupigwa faini au kumkwaza mtu?je ameanza kulewa alipokuwa mbunge?kunywa pombe na kujiexpress kwa malavidavi na mambo ya mtu binafsi.lakini kama hafuatili ahadi alizotoa nadhani hapo ndo kuna tatizo.ahadi atimize.mia
   
Loading...