Laiti Mkapa, Lowassa, Chenge, Wangekuwa Waislamu!

Hawa watu wamesakamwa na kusemwa sana kwa sababu ya ufisadi wao! Sina nia ya kuwatetea hata kidogo lakini naangalia mambo kwa angle tofauti! Lakini endapo hawa watu wangekuwa Waislamu: Tungeambiwa na watu wenye dini zao kwamba wanasakamwa kwa sababu ya dini zao (Uislamu)! Pia tungeambiwa kuwa hii ni vita dhidi ya uislamu! Tujadili!

Asante Mkuu. Dini ya allah ni kulalamika tuu na omba omba
 
Nnajua kuna siku nilikuwa naongea na jamaa mmoja mambo ya kisiasa . nikawa namkosoa kikwete. Jamaa akanimbia wakristu wana chuki na JK. Nikamwambia inawezekana wapo wenye chuki lakini cha muhimu tungalie ukweli wa yanayosemwa.

Nikampa mfano kwamba hivi kwa nini Kikwete tulisikia ilihaidi akichukua madaraka atarudisha nyumba a serikali. Jamaa akaja juu kuwa nyumba hizo ni utawala wa mkapa ndio ulizibinafsisha.

Nikamwambia ndio utawala wa mkapa ndio ulizibinafsiah lakini ni Kosa. Ndio maana mm mkrito pia napinga. Jamaa akaendelea kupinga Akasema ni wivu tu.

Sasa jamaa alibadilika pale nilivyomshushia data zaidi kumuuliza lakini kwa kuwa wewe huangalii hoja unaangalia dini unajua watendaji wengi waliouziwa hizo nyumba ni wa dini gani? Basi akahamaki anataka kujua ni wa dini gani

Nikamuuliza kabla sijakupa data
  • Je wewe ungekuwa JK unezirudisha hizo nyumba ?.
  • Je wewe kama muislam uko tayari kumkosos kikwete kushindwa kurudisha nyumba kama tunavyomkosoa mkapa kwa kuziuza?
Toka leo jamaa akiniona hataki tuongelee mambo ya siasa.

Inasikitisha kwamba kuna watu wanshindwa
  • kukosoa mambo ya wazi kabisa sbabu tu mtu atayepokea zile shutuma ni ni wa dini fulani
  • Kusifia mambo mazuri ya wazi ya mtu fulani sababu sifa zile zinawenda kwa mtu wa din tofauti.
 
Asante sana mtoa hoja hata mimi naungana na wewe 100 kwa 100!
(1). Mramba+Yona+Mgonja+Liumba+ Kweka+Babu seya.(2) Kikwete+Maua+Msabaha+ Mama Mwinyi+Karamagi+ makamishna wa wizara ya nishati.Unaweza kuona tofauti ya haya makundi mawili. Kundi la kwanza linatuhuma za kujibu. Kundi lapili nadhani limehusika katika njia moja au nyingine kufisadi uchumi lakini halina tuhuma ya kujibu.I like this country.
 
Marehemu Muham-mad confessed:
I ascribed to Allah, what He had not said. (Ibn Sa'd, Kitab Al-Tabaqat Al-Kabir, vol. 1, p. 237)
I have fabricated things against God and have imputed to Him words which He has not spoken. (Al-Tabari, The History of Al-Tabari, vol. vi, p. 111)
 
Nnajua kuna siku nilikuwa naongea na jamaa mmoja mambo ya kisiasa . nikawa namkosoa kikwete. Jamaa akanimbia wakristu wana chuki na JK. Nikamwambia inawezekana wapo wenye chuki lakini cha muhimu tungalie ukweli wa yanayosemwa.Nikampa mfano kwamba hivi kwa nini Kikwete tulisikia ilihaidi akichukua madaraka atarudisha nyumba a serikali. Jamaa akaja juu kuwa nyumba hizo ni utawala wa mkapa ndio ulizibinafsisha.Nikamwambia ndio utawala wa mkapa ndio ulizibinafsiah lakini ni Kosa. Ndio maana mm mkrito pia napinga. Jamaa akaendelea kupinga Akasema ni wivu tu.Sasa jamaa alibadilika pale nilivyomshushia data zaidi kumuuliza lakini kwa kuwa wewe huangalii hoja unaangalia dini unajua watendaji wengi waliouziwa hizo nyumba ni wa dini gani? Basi akahamaki anataka kujua ni wa dini ganiNikamuuliza kabla sijakupa data
  • Je wewe ungekuwa JK unezirudisha hizo nyumba ?.
  • Je wewe kama muislam uko tayari kumkosos kikwete kushindwa kurudisha nyumba kama tunavyomkosoa mkapa kwa kuziuza?
Toka leo jamaa akiniona hataki tuongelee mambo ya siasa.Inasikitisha kwamba kuna watu wanshindwa
  • kukosoa mambo ya wazi kabisa sbabu tu mtu atayepokea zile shutuma ni ni wa dini fulani
  • Kusifia mambo mazuri ya wazi ya mtu fulani sababu sifa zile zinawenda kwa mtu wa din tofauti.
Niliwahi sikia kutoka RADIO imani pale Morogoro, mtoa hotuba akisema kuwa waislam ni watu safi ndo maana hapa tanzania waliotuhumiwa kwa ufisadi ni wakristo, alitaja majina ya "yona, mramba na mgonja"Mytake anasahau kuwa muislam namba moja na mufadhir mkuu wa shughuli za kiislam pale morogoro alifilisiwa na serikali kwa kigezo kuwa tangu aanzishe kampuni ya kuuza mafuta mjini moro hakuwahi kulipa kodi.
 
wadini waoga wameshindwa kuja kuteteahahaha kila siku habari za misikiti leo wameletewa mbwa msikiti wamenyamazaMSHUPO
ma_great thinker wa jf ndo niny nin? wazaman ulikuwa unakalia kigogo kwa nyuma siku Ã*z vp? Unaparamiwa?
 
Na Nyerere angekuwa Muislamu, je?
Tunajadili wale wanaotuhumiwa kwa ufisadi lakini hawajatumia dini kudai kwamba "wanaonewa!" Lakini kwa upande wa JK kuna baadhi ya watu wanataka asiguswe kabisa as long as ni mwislamu mwenzao! Tuliona mfano mwingine wa Mzee Ruksa naye tuliambiwa kwamba "kwa sababu ya dini yake" anaonewa! Kwa upande wa Nyerere, kama angekuwa Mwislamu, kwa criticism dhidi yake nafikiri nako tungeambiwa "ni kwa sababu ya dini yake!" Kwa ujumla ndugu zetu watamlinda mtu wao kwa gharama yoyote, hata kama ni mchafu kiasi gani! Kwao "uislamu ni nambari one," hayo mengine ndio yanafuata!
 
Hawa watu wamesakamwa na kusemwa sana kwa sababu ya ufisadi wao! Sina nia ya kuwatetea hata kidogo lakini naangalia mambo kwa angle tofauti! Lakini endapo hawa watu wangekuwa Waislamu: Tungeambiwa na watu wenye dini zao kwamba wanasakamwa kwa sababu ya dini zao (Uislamu)! Pia tungeambiwa kuwa hii ni vita dhidi ya uislamu! Tujadili!
Unaonekana wewe ni mdini hakuna la msingi kujadili juu ya hao watu mabaya yao yako wazi
 
Back
Top Bottom