Papa Msofe ni mfanyabiashara au tapeli Maarufu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Papa Msofe ni mfanyabiashara au tapeli Maarufu?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Ray 4, May 2, 2011.

 1. R

  Ray 4 Member

  #1
  May 2, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Huyu Papa Msofe nilikuwa namsikia sana na kumjua kama mfanyabiashara maarufu sana. Leo Nimeona kwenye gazeti la The African eti Papa Msofe ambaye jina lake kamili wanasema ni MARIJANI MSOFE ni tapeli ambaye anatumia Polisi kunyanganya Ardhi!! Nani anayejua kuhusu huyu jamaa atupe ukweli. Nimeweka hili gazeti kwa ambaye hajaliona.
  papaMsofe.jpg papaMsofe2.jpg
   
 2. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 23,104
  Likes Received: 10,416
  Trophy Points: 280
  may be both
   
 3. Sugar wa Ukweli

  Sugar wa Ukweli JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu kawaibia sana wahindi na wachina kwa kuwauzia dhahabu na shaba fake!,kwa sasa sijui.But enzi zile alikuwa balaa na alikuwa anashirikiana na watu wakubwa katika nchi hii
   
 4. jebs2002

  jebs2002 JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 2,422
  Likes Received: 964
  Trophy Points: 280
  Huyu bwana pamoja na khamis hussein na isaac kassanga ndio wanaoendesha easy finance, wala usijaribu kwenda kukopa pale, utakwisha. Anajulikana sana mjini kama tapeli aliekubuhu, anaejigamba kuwa wanausalama na mapolisi wenye wenye vyeo wako mfukoni kwake. Hivi karibuni yeye na ndama mtoto wa ng'ombe walisadikika kuhusika na viungo wa miili vya maalbino! Lakini kama ujuavyo nchi yetu inayoongozwa na JK, usalama kwa raia ni kama hakuna!
   
 5. a

  andry surlbaran Senior Member

  #5
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 6. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 33,744
  Likes Received: 8,304
  Trophy Points: 280
  Wamempunja sifa sifa zake, huyo jamaa kwenye usanii ana PHD.
   
 7. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 23,104
  Likes Received: 10,416
  Trophy Points: 280
  papaaa musofe,mutu ya pakee,hivi sirikali si inafahamu mambozake anazofanya tena za hatari na wazi mbona inampotezea km haioni? au kuna kamishen ? teheteheee this country bana!!!!!! hata hayo makokein na na mapowder ya kila aina wadau wakuu wanajulikana,ukiskia mdau amedakwa jua amekosea masharti, hivi mateja yakibanwa si yanaelekeza yanapopata mapowder!!!!!
   
 8. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,622
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  Mie simfahamu lakini nimesikia story zake long time sasa. Ni mshirika mzuri sana wa mapolisi na vigogo wa serikali hii. Commission at work.
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,256
  Likes Received: 3,165
  Trophy Points: 280
  Ndugu huyu ni zaidi ya muuaji kukumaliza tena akupitia police wa defender na kesho kuandikwa jambazi maarufu lilikuwa likijibizana na police kitu cha kawaida..anyway m najua utapeli wake kwenye madini amewaliza wengi sana akishirikiana na kundi moja lipo kariakoo likiongozwa na akina fred....ni wahuni na mbaya zaidi wamemweka mkononi kuanzi mwema,kova,nzowa na washenzi wpte wa polis unaowajua....hata yule mama aliekamatwa majuzi nikupe kisa cha kusikitisha alikuwa analindwa na defenders 5 yrs sijajua kilichofanya kukamatwa anajua nzowa na wahuni wenzake lakini ukweli ile nyumba huku mbezi beach kila ,tu alikuwa anaijua na ukienda police wanakuweka ndan baada ya kumpigia huyo mama anakwenda anagawa chochote unaenda kujibu kesi ya kubaka,,hili ndio jeshi letu bandugu...ni rafiki mkubwa wa papa msofe so utajua ni nani??ama gigs??
   
 10. K

  Kwedikwezu Member

  #10
  Jun 8, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Achane Majungu.......kwani ukijua kama alikuwa tapeli au alikuwa mwezi itakusaidia nini? Acheni mtima nyongo...nyie sio police wala nini.............majungu tu.........hapa kwenye huu mtandao anatakiwa great thinkers weeee toka kafanye kazi nyingine
   
 11. K

  Kwedikwezu Member

  #11
  Jun 8, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Majunguuuuuuuuuuuuu...........kila mtu akiwa hana kitu ndio anaonekana Muungwana
   
 12. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,622
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160

  Kama msofe ni wewe siku zako zinahesabiwa.
   
 13. u

  umtwale Member

  #13
  Jun 9, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  nachofaham_jamaa anafanya biashara ya kokoto, mchanga na kifusi pale kunduch na ameanza kama dalali lakn alipata kubwa akanunua lori na kwa kwel ni mchapakaz_sasa kafungua ofis na kaongeza malori, anapenda sana misifa hasa kupaishwa kwny muziki. Ni opportunist wa maana
   
 14. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #14
  Jun 9, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 23,104
  Likes Received: 10,416
  Trophy Points: 280
  nilimleta hapa mjini mie mzaz wake teyeyeeeyee nacheka kibibiii
   
 15. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #15
  Jun 9, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hii nimeipenda! Thanx mkuu.
   
 16. mchapa shughuli

  mchapa shughuli JF-Expert Member

  #16
  Jun 9, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 503
  Likes Received: 283
  Trophy Points: 80
  Si Msofe unasema Nteze wa nteze wewe
   
 17. mchapa shughuli

  mchapa shughuli JF-Expert Member

  #17
  Jun 9, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 503
  Likes Received: 283
  Trophy Points: 80
  Alisumbua sana wakati wa utawala wa Mahita,Tibaigana,Zombe na Adadi wakati huu wa Mwema si sana karibu ataungana na kina Maranda..
   
 18. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #18
  Jun 9, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,200
  Likes Received: 1,598
  Trophy Points: 280
  mi nilidhani ni mshirika wa ngwasuma tu? muzee ya pesa mingi,mutu ya watu,manake wakianza kumpamba utadhani wengine hatujachangia! kumbe an extra-curricular kibao,dah
   
 19. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #19
  Jun 10, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 7,729
  Likes Received: 687
  Trophy Points: 280
  Nawapa true story jinsi walivyo mliza rafiki yangu wa karibu toka arabuni. Rafiki alikuja nchini na akataka kununua dhahabu. Akaenda kwa sonara pale k'koo, sonara akampa contact za hussein na Msofe. Akawapigia simu wakamuomba aonane nao kndoni- vijana(mimi hakunishirikisha). Akiwa vijana nilimpigia simu nikashangazwa na yeye kuwa eneo lile kwa ni simuendaji wa baa na hapendi kwenda sehemu zenye kelele. Punde nika mfuata nika kuta anagana na Msofe + rafiki yake. Kumbe walikuwa wamemaliza mazungumzo ya biashara na walikuwa wamekubaliana kuwa watamuuzia dhahabu kilo 20. Alikaribishwa ofisini kwao na kuoneshwa dhahabu yenyewe na akashuriwa achukue kidogo akahakiki kwa sonara, alifanyahivyo. Baada ya kuhakiki alilipa na wao walikubali kulipa mrahaba wa mamlaka ya madini(30%). Sanduku lifungwa kwa kufuri aliyonunua huyo mnunuzi na kuwekewa seal ya stamico. Wauzaji walimshauri aliache sanduku aje alichukue wakati wa kwenda aeroport- alikubali. Siku ya safari alikuja kuchukua sanduku lake, alipofika walimuomba ajiridhishe kuwa sanduku lake ni lenyewe- alihakiki: MCHEZO ULIPOFANYIKA: wakati anataka kutoka husein alimuanzishia story juu ya future cooperation na wakati huo akaita walinzi wabebe sanduku(sanduku likabadilishwa). Mteja (1afiki yangu) akaondoka. Alipofika arabuni alikuta kwenye sanduku kuna vipande vya nondo. Aliwapigia simu kuuliza kulikono- wakawa wakali kuwa wao ni watu safi wanaoheshimika na washika dini kwa hiyo hawawezi kufanya mchezo huo.
   
 20. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #20
  Jun 10, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  Yeye pamoja na wafuatao chini ni matapeli wakubwa wa dhahabu na shaba feki toka Congo
  Abdul Mteketa(sasa mbunge wa kilombero)
  Papaa Mabeba
  Ndama mtoto wa Ng'ombe
  Mkenya Mmmoja akiitwa Mathias Mattako
  Muzamil Katunzi
  Chacha Mapessa
   
Loading...