Recent content by tamadunmusic

  1. T

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kama leo tutashinda mchezo huu, basi nitazidisha imani ya kushinda EPL hadi 65%. Stoke sio timu ya kuifunga hovyo hasa kwa arsenal, ila km Sanchez atarudi na kufanya vzr basi atakuwa na hali na hamasa ambayo itamfanya ozil awe na imani zaidi na pass zake, kwakuwa Walcott anapoteza nyingi...
  2. T

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kabla ya Aubameyang kutua Dortmund, Wenger aliwahi kumfukuzia kinafki km anavyofanyaga ila akapita kushoto leo hana budi kula matapishi yake kwakuwa now hela IPO....!
  3. T

    Ni aina ipi ya simu ni bora zaidi?

    Sorry, naomba kujua eti, ni namna gani unaweza kununua bidhaa JUMIA, je kuna matumizi ya tembo MasterCard kama kwingine au inakuaje? Natakunguliza shukrani
  4. T

    Mada Huru: Ni Mtangazaji yupi anayekuboa zaidi?

    Kwa upande wa television, sio Mimi tu pamoja na watu kibao, hakuna mtangazaji anaboa kama SAM MISAGO, huyu jamaa mambo yake anayajua mwenyewe, mwanaume ni vigumu sana kuwa vile
  5. T

    Upuuzi Wa Alikiba,Ujinga Wa Wema

    Haya hongera kwa kuwa na uchungu utazani ww ndo ulimpa Diamond hela ya kwanza ya kuingia studio au ww ndo uliingia Leba...! Ttz huku jf hakuna og ID so ukitaka kutafuta kick kwa kudiss mtu bola uende fb,Twitter au instagram ili ujulikane
  6. T

    Upuuzi Wa Alikiba,Ujinga Wa Wema

    Ungekuwa team Diamond wa kwanza kumsifia Alikiba. Tushawazoea nyie na hizo team zenu, mnakuja mnaandika upuuzi kiasi kwamba km ni mtu mzima basi watu wanawaheshimu huko makwenu wakiona huu ujinga watawadhalau sana, kila shabiki aje na uzi wa kumdisi diamond au Alikiba ni upuuzi, mnajifanya mna...
  7. T

    Tambo za Show ya Funga Mwaka zimezidi kupamba Moto

    Duhhh! Hawa mastaa wa bongo dakika 2 huku dakika kule, tangia wolper apate shavu la kuonekana kwnye kideo cha simba..! Eti nayeye kaanza kujifanya team simba
  8. T

    Most watched music videos in Kenya 2015, ona mchuano wa Diamond and Ali Kiba

    Bila shaka zitakuwa ni nyimbo zilizotazamwa zaidi nchini Kenya, kwakuwa hiyo nyimbo ya wiz khalifa ina zaidi ya viewers billion 1. Wakati Nana ya bwana mkubwa Diamond ina km million 7.
  9. T

    Wanaume wenye Upara ni hatari kitandani!

    Kunaongeza kuwa na hamu ya mapenzi na sio uwezo, uwezo na hamu ni vitu viwili tofauti, uwezo katika mapenzi ni kuhusu experience uliyonayo katika mapenzi, kuwa na upara alafu huna experience uone utakavyo lukaluka km rasta kwenye mwili usio na afya
  10. T

    Nani zaidi katika uandishi wao wanaHIPHOP hawa? kati ya..

    Kwa hao uliowaweka karata itamuangukia kubanda japokuwa nakili kuwa mchopanga yuko vizuri ila kukaa kimya muda mrefu kunapunguza hadhi yake...! ila kwa bongo wote waandike hakuna mwandishi wa kumzidi NASH MC full stop
  11. T

    Mpenzi wangu anataka nimzalie mtoto, namimi nataka kujiendeleza

    Kusoma ww ndo utakuwa wa kwanza, au unataka kuja kuwa samia mwingine, msaidie mwenzio kumpatia mtoto, kuna familia baada ya kusoma, sasa wewe kasome alafu uachane na mwenzio uje uone ilivo kazi kumpata mwingine mwenye malengo
  12. T

    Waislam wa Tanzania na tatizo la udini katika Wizara ya Elimu

    Wajameni naombeni kuuliza hivi hawa watu wanaotajwa sana humu ndani "makhafili" ndio watu gani?
  13. T

    Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)

    Siungi mkono mtoa mada, ila huo uislamu unaouongelea ww sijui wa nchi gani, kwakuwa nchi za kiislamu ndo kwanza hazina hizo sifa unazosema uislamu umeleta yani...! amani,upendo,usawa,maelewano labda hiyo nchi mpya
  14. T

    HAIPINGIKI: Diamond & Wema kurudiana

    Mhhhh. Tuwaombeee??? ikiwa nasisi tuna mambo mengi na yamaana ya kujiombea, km wanapendana waombeane wenyewe, wakirudiana sisi tunanufaika na nini
Back
Top Bottom