La Princesa
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 1,049
- 1,160
Alikiba the so called King(Japo ni King Wa Ndotoni)Huyu Kaka Ni Mshamba Sana,Ni Kweli yeye ni Msanii Poa,Na Aliwahi Kufanya Vizuri Huko Nyuma(Japo Hakuwahi Kufika Hats Robo Ya Balaa La Juma Nature aka Kibra bin Kiroboto).
Habari Za Chini Ya Carpet Ni Kuwa,Huyu Kaka Anaomba Usiku na Mchana,Wema na Diamond Either Wasirudiane au Wasimalize tofauti Zao,hii ni kwa sababu msanii huyu aneyejiona Simba while Ni Paka tena aliyenyonyoka manyoya anaishi kwenye muziki kwa kubebwa na beef la nyota hawa wawili.
Inasemekana kuwa Kiba Ana wasiwasi mkubwa Sana Wa kurudi kwenye msoto tena kwa sababu beef la Wema na Diamond linafanya mashabiki Wa tunayeaminishwa kuwa ni tz Sweetheart aka Wema Sepetu Kumsapoti Kiba Japo kwa Unafiki Ili tu wasimdissapoint boss wao na kumkomesha Diamond ili ajione kuwa yeye bila Wema so kitu,ila mambo yakienda vise versa basi,Team Wema wote wataanza kumsapoti Diamond Hadharani...
Ni hayo tu

Last edited by a moderator: