Damy Scotty
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 717
- 454
Habari wakuu..hebu turelax kidogo na haka kajumapili mwanana.
Ni hivi,
Bila shaka ukiongelea HIPHOP kwa bongo na ukataja watu watatu the best huwez kukosa kumtaja JUMA MCHOPANGA na FAREED KUBANDA (jay moe & fid q respectiveLy)
Huwa napata tabu kuwa rank hawa jamaa nan anaanza..
Hawajawah kushirikiana hawa jamaa ila kuna baadhi ya ngoma ambazo wamekaa kwenye beAt moja ngoma hzo kama vile;-
MIMI geez mabovu (r.i.p)
UKISKIA PAA jcb
MCHIZI WANGU REMIX Jointed by adam mchomvu
Kwa haraka haraka ni hizo ngoma ambazo hawa jamaa wamekaa kwenye beAt moja..
Kwako mdau nani unadhani anamzidi mwenzake hasa katika uandishi?
NB: Kuwa rationaL katika maoni yako'