Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tunamsubiri Alexis arudi kwenye timu pamoja na wachezaji wawili watatu wapya kama Prof alivyohidi, mwaka huu timu zote zilizokuwa promoted wamejitahidi sana kutokana na pesa za TV. Kama Prof aki-manage vizuri wachezaji majeruhi sioni timu ya kuisumbua Gunners kwenye mzunguko wa pili.
Ni kweli....mkiwa na timu hii hii bila majeruhi wengi mnachukua ubingwa lakini akiumia Ozil au Giroud,yes Giroud, mta struggle.
 
Yaani wasipokuwa mabingwa safari hii tuwape ban tufunge uzi wao kabisaaa..... mimi nitaanza na @Wacha 1

Wacha roho mbaya mbona uzi wa ''New Era at The Emirates'' ulifungwa kwa husda tu. (usipige ukelele akisikia Invisible itakuwa balaa). Haya kama mnataka kutufungia mtufungie lakini ngoma inayopigwa na Gunners mziki wake mkubwa wewe unalifahamu hilo, kwa sababu kitale cha uhakika kinafundishwa Colney. Nasikia Welbeck yupo karibu kutoka kwenye majeruhi .... .... Ding ... Dong.
 
Arsenal ubungwa wa mwaka huu ni wetu,tutachukua hata kengekewa ,ninaiona nyota inangaa upande wetu
 
Man utd wako 9pts behind na perfomance zake hazileti matumaini,tulikuwa na fixture list very favourable lakini hatujashinda tangu november 21 mpaka tumebahatisha leo,hio ni midtable form.

Liverpool sisemi chochote ila ni afadhali ya man utd. Palace,hammers come on......u r joking right? Spurs still a small team hawawezi kuchukua ubingwa.

Man city, iwapo Arsenal mkiteleza city ndio anachukua kombe lakini its in your hands.

Man City bado ni wazuri (on the paper) kuliko timu zote then sisi. Timu nyingine nilizoziorodhesha (Palace, Hammers, Spurs, Leicester) kimahesabu hazipo mbali na top 1 and 2 tatizo linakuja katika experience ya kumaliza ligi zikiwa top 4 eventually kugombea championship hazina. Timu kama Liverpool, Manchester United huwezi kuzidharau sababu zina experiences za kugombea makombe to May. Mathematically 12 points difference in January sio kubwa ukizingatia kuna FA Cup, UCL na Europa vinakuja mwezi ujao. Liverpool, Spurs, Arsenal, Man City and Manchester United zitakuwa na mechi nyingi kuliko timu hizo nyingine. Mechi nyingi zinaleta uchovu(kiakiri na kimwili) pia potential za injuries kwa hiyo hizo timu ndogo zikijipanga zinaweza kushangaza umma msimu huu na kumaliza juu juu kama sio kugombania ubingwa (Leicester na Spurs wapo sehemu nzuri kufanya hivyo). Arsenal tatizo ni injuries ndio linatutatiza kila msimu, ama sivyo tunaweza kumaliza ukame msimu huu. Wenger kama atasaini wachezaji wawili inaosemakana atawasajili na majeruhi kurudi mapema au itarawiavyo mambo yetu yanaweza kuwa mazuri. Lakini ni mapema sana kusema nani atabeba kombe msimu huu. Let's see what will happen in February and March.
 
Le Prof kasema leo anahitaji kusaini wachezaji wawili katika siku kumi zijazo ..... ....... .... kuimarisha kikosi cha Gunners, Alexis yupo gado na huenda akacheza mechi ya FA kama sub, mchezaji anayetajwa wa pili ni Pierre-Emerick Aubameyang kutoka B Dortmund ambaye wanasema bei yake ni takriban pound million 42 na yule kutoka El-Masri Basel midfielder Mohamed Elneny ..... ..... kwa kama million 7.5

''I want to talk about them and hopefully we are capable of doing something in the next 10 days. ‘It’s more about quality than quantity because our players will not stay out injured forever. Francis Coquelin is starting to run, Santi Cazorla will be back in mid-February, and Mikel Arteta is back now so, hopefully, if we can add one and, if needed, two maximum.’'

Naona patachimbika tu.. ..... . Ding ... Dong. COYG
 
Usajili Updates:
Baada ya kusumbuliwa sana na Newcastle siku ya jumamosi na kuambulia goli muhimu ambalo pia lilifungwa na Boss, Arsenal wana mawazo ya kufanya usajili mwingine baada ya ule wa Mohamed Elneny kukamilika wiki ijayo.

Pierre Emerick Aubameyang ameibuka kuwa mmoja wa targets mbili ambazo Arsenal wanazifuatilia.
aub_3540238b.jpg

Mshambuliaji wa Borrusia Dortmund Aubameyang ambae Arsenal walijaribu kumsajili mwaka jana.

Mchezaji huyu amewekewa kiasi kama cha milioni 42 hivi.

Itakumbukwa kwamba Mesut Ozil alisajiliwa kwa kiasi hikihiki cha milioni 42 hivyo hii kusisitiza umuhimu wa mchezaji huyu.

Pia Borrusia Dortmund wanajiandaa kumsajili mshambuliaji Romelu Lukaku wa Everton hivyo kuthibitisha uondokaji wa Aubameyang.

Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp ambae alikuwa meneja wa Aubameyang pale Dortmund anataka kuingilia mpango huo na kumvutia kwa Liverpool mchezaji huyo ambae pia ni mshambuliaji wa timu ya taifa ya Gabon.
 
Hii ni habari njema mkuu Richard endapo itatokea hivyo itakuwa poa sana but ki uhalisia imekuwa ni nadra sana Wenger kufanya usajili wa maana january na ye amekuwa akiamini kuwa tumu nyingi huwa hazitaki kuwaachia wachezaji wao January, na binafsi sina hakika kam Dortmound watakuwa tayari kumuachia jamaa hii january na pia kwa thaman yake hiyo mzee Wenger atakuwa tayari kuvunja tena benk? maybe kwasababu safari hii kadhamiria kufukuzia ubingwa inawezekana ngoja tusubiri ndank ya hizo siku kumi alizozisema.
 
Yaani humu mnajisifia sana mpka nimeogopa kuingia ....lol....Happy New year watani zangu.....all the best matop of the league..... Wacha 1 nadhani sina uwivu wa kiume nimewasifia.....khe khe eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hii ni habari njema mkuu Richard endapo itatokea hivyo itakuwa poa sana but ki uhalisia imekuwa ni nadra sana Wenger kufanya usajili wa maana january na ye amekuwa akiamini kuwa tumu nyingi huwa hazitaki kuwaachia wachezaji wao January, na binafsi sina hakika kam Dortmound watakuwa tayari kumuachia jamaa hii january na pia kwa thaman yake hiyo mzee Wenger atakuwa tayari kuvunja tena benk? maybe kwasababu safari hii kadhamiria kufukuzia ubingwa inawezekana ngoja tusubiri ndank ya hizo siku kumi alizozisema.
he
Sawasawa kabisa mkuu.

Ni kweli kabisa Wenger huwa hafanyi usajili mkubwa mwezi January.

Lakini safari hii itakuwa ni exceptional na baada ya kumtangaza Elneny, Arsenal wanaweza kabisa kumsajili msjambuliaji hata wa mkopo kwa ajili ya kusaidia idara ya ushambulizi.

Giroud na Walcott wakiumia itakuwa shida.
 
After wenger arsenal will stl be there.

Tumeanza harakati za usijali wa Muddy kabla ya dirisha kufunguliwa na sitashangaa usijali wake ukukamulika on deadline day.

Na unaweza kuta Sababu ya ucheleweshaji ni tofauti ya pesa kidogo sana.

We love the Arsenal approach to the Market.

#In AW we trust/rust

COYG
 
Mechi 4 zijazo zitatuonyesha kama kweli tupo kugombania ubingwa. These are make or break games.
Liverpool vs Arsenal
Stoke City vs Arsenal
Arsenal vs Chelsea
Arsenal vs Southampton
Tukiondoka na 2 wins na 2 draws tutakuwa tumefanya vizuri
 
...tunashinda tatu hapo,tuta draw moja tu na stoke city.
 
B Dortmund wameweka ngumu kumwachia mchezaji wao kununuliwa na Gunners kwa kiasi cha paundi million 42 ..... habari za ndani zinasema wanahitaji angalau millioni 60. Hilo halitawezekana Le Prof inabidi aangalie wachezaji wengine. hana ubavu wa kuwa mchezaji wa hizo pesa maana EPL sio lelemama.
 
Jana nilisema nikae nitazame uwezo wa baca kwa mwaka huu mpya ktk game yao dhidi ya R. Vallecano. Aisee Wenger kama hajaongeza watu hasa kiungo na straika basi tutaambulia kipigo kibaya toka kwa ile safu ya MSN. Wale jamaa hawafai pale mbele.
 
B Dortmund wameweka ngumu kumwachia mchezaji wao kununuliwa na Gunners kwa kiasi cha paundi million 42 ..... habari za ndani zinasema wanahitaji angalau millioni 60. Hilo halitawezekana Le Prof inabidi aangalie wachezaji wengine. hana ubavu wa kuwa mchezaji wa hizo pesa maana EPL sio lelemama.

Usajili Updates:

CYHCxANWAAARxrv.jpg

Pierre-Emerick Aubameyang

Mkuu Arsenal wapo na Aubemayang wameongeza dau na wameweka mezani milioni 44.6 kwa mchezaji bora wa Africa.

Na hizi habari zinatoka ndani kabisa.

Pia Arsenal wanzungumza na PSG kuhusu Adrien Rabiot na PSG wanataka milioni 15 hivi.

Ikiwa mambo yote yatakwenda kama inavyopangwa basi hao ni wachezaji wawili kati ya watatu ambao Arsenal inawahitaji mwezi huu.

Victor Wanyama yeye ni Julai kuja kuziba nafasi za Arteta na Flamini.

Wachezaji kama Joel Campbell huenda akaenda Galasaray kumpisha Rabiot na Mathieu Debuchy
huenda akaenda Roma ya Italy kwa mkopo au moja kwa moja.

Sedge Gnabry anakwenda Brighton kujiendeleza zaidi.

Wenger sasa amegundua kwamba uzoefu ndio tija na hataki kuchezea bahati iliopo na hataki kuwatumia wadogo watakaochea na Sunderland Jumamosi kwenye FA cup.

Updates zaidi zinakuja.
 
Last edited:
Kabla ya Aubameyang kutua Dortmund, Wenger aliwahi kumfukuzia kinafki km anavyofanyaga ila akapita kushoto leo hana budi kula matapishi yake kwakuwa now hela IPO....!
 
Usajili Updates:

CYHCxANWAAARxrv.jpg

Pierre-Emerick Aubameyang

Mkuu Arsenal wapo na Aubemayang wameongeza dau na wameweka mezani milioni 44.6 kwa mchezaji bora wa Africa.

Na hizi habari zinatoka ndani kabisa.

Pia Arsenal wanzungumza na PSG kuhusu Adrien Rabiot na PSG wanataka milioni 15 hivi.

Ikiwa mambo yote yatakwenda kama inavyopangwa basi hao ni wachezaji wawili kati ya watatu ambao Arsenal inawahitaji mwezi huu.

Victor Wanyama yeye ni Julai kuja kuziba nafasi za Arteta na Flamini.

Wachezaji kama Joel Campbell huenda akaenda Galasaray kumpisha Rabiot na Mathieu Debuchy
huenda akaenda Roma ya Italy kwa mkopo au moja kwa moja.

Sedge Gnabry anakwenda Brighton kujiendeleza zaidi.

Wenger sasa amegundua kwamba uzoefu ndio tija na hataki kuchezea bahati iliopo na hataki kuwatumia wadogo watakaochea na Sunderland Jumamosi kwenye FA cup.

Updates zaidi zinakuja.

Hakuna Deal la Pierre aubemiyang lets cool down our Hopes inawezekana Huko summer na kumwaga £60mil kwa hii january sio jambo jepesi

Rabiot labda Summer haingii akilini kwa Wenger kuwasajili Midfielder wawili tena Especially RABIOT ambaye anakimbia BENCHI kule PSG anataka Kucheza ili aitwe France ikifika EURO 2016 na Arsenal hawezi kufika na Kucheza hii deal haipo....

Arsene Jana kasema Santi na Coq watarudi by mid February 2016, Coq kashaanza Kukimbia, santi anapata Nafuu haraka kuliko ilivyodhaniwa

So ni Elneny ambaye wenger kasema kama navyomnukuu hapa

The deal is complicated a little bit,” said Wenger. “We work hard on it, we hope in the next two to three days we get to the end of it.

He added: “The only [signing]? I don’t rule out anybody else. He [Elneny] will at least be one of the signings and comes into an area where we are short at the moment.”

Chanzo : Arsenal.com

kama kuna mwingine itafahamika mpaka dirisha likifungwa....
 
Back
Top Bottom