Sirm JF-Expert Member Nov 16, 2013 560 370 Jan 1, 2016 #1 Kwa kupitia ukurasa wao wa Facebook timu ya arsenal kupitia mchezaji wao oxlade-chamberlin wanawatakia heri ya mwaka mpya!! Cheers wana arsenal!
Kwa kupitia ukurasa wao wa Facebook timu ya arsenal kupitia mchezaji wao oxlade-chamberlin wanawatakia heri ya mwaka mpya!! Cheers wana arsenal!
V vidal JF-Expert Member May 28, 2015 310 103 Jan 1, 2016 #3 Arsenal itapendeza sana tuchukue na,ubingwa, happy new year
King’asti Platinum Member Nov 26, 2009 27,853 24,895 Jan 1, 2016 #4 Bora mpeane faraja msije mkazimia mioyo. Cc @Mbu
sherif john brown Member Nov 5, 2015 66 22 Jan 1, 2016 #5 Pamoja sana arsenal wote sisi ni mashabiki wa ukweli kabisa wala sio wa msimu
mdudu JF-Expert Member Feb 6, 2014 7,002 9,986 Jan 2, 2016 #8 Hiyo siyo timu ya ushindani,ni ya buludani tuu.