Wanaume wenye Upara ni hatari kitandani!

Kiluuj

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
692
277
Mpo hapo!
Ya kumalizia mwaka hii!

A study in 1960 by Yale doctor, James Hamiliton inaonyesha kwamba kuna uhusiano mkubwa kati ya homoni za testosterone levels kwa mwanaume na upara!

Wanaume wenye kipara wana idadi ya juu ya homoni ya testosterone hivyo wako more musculine, thus kuzidisha their sex drive.

Kuwa au kutokuwa na upara utegemea idadi ya testosterone iliyo mwilini ambapo ndiyo uchangia uwezo wa mwanaume kitandani.

Ukweli ni kuwa ni idadi nyingi ya homoni za testosterone ndiyo inachangia kuwa na upara!

NB.
Testosterone hormones ni homoni zinazofanya mwanaume kuwa na hamu na uwezo wa kufanya mapenzi.
 
Haya kaka, hili liwe somo kwa wadada waangalie upara zaidi kama wanataka michezeo zaidi. Mbona nawafaham watu flan wenye upaa ka kiwanja cha ndege lakini hata watoto wa kudhaniwa hawakupata ilihali walioa?
Masomo mengine bure tu. Hao wamekosa masomo. Mara sijui ukubwa wa pua ndo unene wa pen.. bure tuu hamna lolote. Ukifika kumbe vibamia mdada mpaka akufungie na kanga tena asikohoe. Masomo yenu bure kabisaaa
 
Naona umeamua kuvuta kamba upande wako! Kuna tafiti nyingine humu ilisema WENYE VITAMBI ni nux, kwa hiyo mwenye kitambi na upara atakuwa balaa kwa kina dada!
Sina kitambi na wala sina upara, gemu yangu si haba!
 
Mkuu Kiluuj vipi wale wenye kibiongo status yao ikoje kuhusiana name sex drive zao?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom