Tambo za Show ya Funga Mwaka zimezidi kupamba Moto

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,662
Habarini

Katika msimu wa sikukuu kuna show 2 kubwa zimefanyika! Ni ile show ya Diamomdplatnumz (SIMBA) Na Ali Kiba (BALOZI WA WANYAMA)

Diamond kafanya show ake tarehe 25 pale Dar live kwa kiingilio cha elfu 15 kawaida na 30 elfu VIP

Alikiba kafanya show ake tarehe 26 pale Escape 1 kwa kiingilio cha sh Elfu 10 hakukuwa na VIP

Badaa ya,show hizo kama wewe ni mtumiaji wa instagram utakuwa umeona tambo zimeanza na wazee wakuchochea bifu wametoa makucha yao nazungumzia #TeamDaimond na #Teamkiba

Kila mmoja anadai Show ya mwenzie ilikuwa kali sana! ingawa wao wenyewe hawajalisemea hilo

ikumbuke kiba alifanya live band baada ya show yupo na Diomond hakufanya Live Band baada ya show akasafiri kwenda Nigeria kwa ajili ya show

WEMA ISAACK SEPETU asie ishiwa vituko ameonekana kumuunga kwa kiasi kikubwa ALI KIBA nakuponda vile DIAMOND Kujiita SIMBA akapost hii instagram ''KAMA UNAJIJUA WEWE NI MNYAMA.....BALOZI KASHASEMA ASIJE KUJA NA DELEGATION IKAWA NOMA''

Kabla ya hapo Wema alikuwa amepost hii
BALOZI WA WANYAMA KASHASEMA WANYAMA WOTE NDANI....SIO MIMI NI BALOZI

Wema akionekana kumsema Diamond kwa vile Anajiita SIMBA ....Dada wa Diamond HALIMA KIMWANA hakuweza kuvumilia Akamjibu Wema kwa kuandika
SIMBA KASHASEMA HATA UKIIMBA NYIMBO AKE HATOI KICK KWAKO ( ikumbukwe Wema alirecord video akiwa na Aunty Ezekieli wakiimba nyimbo ya Dai Je utanipenda)

HALIMA hakuishia hapo akapost kingne akimsema wema kuwa Diamond kakuacha na nyota ako lakini mambo yako ndo yanadorora na mengine mengi

Haija kaa sawa hio HALIMA AKAPOST PICHA YA Dai nakuandika
KAMA NAIONA MICHAMBO YA MADEM WA ZAMANI NILIO WAKAZAGA

Jamani Kifupi instagram kumekucha yaani....Daimond Akapost Video Akiwa Nigeria kwenye Ukumbi atakaotanyia Show bas WOLPER hakusita kucoment akacoment akisema
WE SIMBA EMBU PUNGUZA UCHACHU UNA NINI KWANI WW BABU EE KWANI HAPO WAPI? AKINA NANII VEPEE likionekana Ni dongo kwa Kiba

Kifupi huko kumekucha nitajaribu kuattach picha muone
 
Last edited by a moderator:
Wema post zake
 

Attachments

  • 1451284150154.jpg
    1451284150154.jpg
    37.3 KB · Views: 107
  • 1451284163429.jpg
    1451284163429.jpg
    31.7 KB · Views: 106
Wolper mara baada ya Diamond kupost video akiwa ukumbini Nigeria
 

Attachments

  • 1451284222150.jpg
    1451284222150.jpg
    32 KB · Views: 111
Diamond nae Alipost hii
 

Attachments

  • 1451284320909.jpg
    1451284320909.jpg
    49.3 KB · Views: 119
  • 1451284336472.jpg
    1451284336472.jpg
    60 KB · Views: 112
siku moja kabla ya show alikiba alipost hii Sijui walitumia vigezo gani kabla ya show diamond uganda au baada
 

Attachments

  • 1451284378544.jpg
    1451284378544.jpg
    37.6 KB · Views: 114
Huyu anastress za kutokuwa na DIAMOND na wenye akili tumeshaliona hilo maana mtu usiye na time naye uwezi ukapoteza muda wako kuyafuatilia mambo yake, lakini huyu kila siku na DIAMOND wakati hawako ktk fani moja.
 
Duhhh! Hawa mastaa wa bongo dakika 2 huku dakika kule, tangia wolper apate shavu la kuonekana kwnye kideo cha simba..! Eti nayeye kaanza kujifanya team simba
 
Back
Top Bottom