Recent content by Sungurajv

  1. Sungurajv

    JamiiForums Tanzania Am looking for a man to be my life partner

    Pm me
  2. Sungurajv

    JamiiForums Tanzania Sexual tensions.....Kuishinda.....

    Hiyo kitu wee acha tu. Usiombe ukutane nayo ni balaa nukusi Valentina
  3. Sungurajv

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa mwanaume...."wangenikoma"

    Hilo shemale (janamke dume)
  4. Sungurajv

    JamiiForums Tanzania Askari magereza anafanya biashara ya kuendesha taxi

    Mbona ndugu yako mbunge ana shell nchi nzima husemi?
  5. Sungurajv

    JamiiForums Tanzania Beware: Tapeli Tapeli

    Russia pana baridi nyingi hivyo basi ili uweze kuishi pale lazima utumie pombe kali. Sasa wewe umekwenda kusoma, pombe na masomo wapi na wapi?
  6. Sungurajv

    JamiiForums Tanzania Nihukumu mimi: Nimemuacha mpenzi wangu kisa ni msomi, sasa najuta

    Wasomi ni shida tupu kuliko hawa unti book. Me nimetendwa na msomi? Me naona bora kuacha kuliko kuachwa. Kuachwa inauma ni shughuli pevu. Tafuta mwingine ili akikuzingua piga chini bro kuliko kupigwa chini wewe. Utalia
  7. Sungurajv

    JamiiForums Tanzania How to track a stolen PC

    Pole. Ila ukipata nyingine iwekee anti thief program ili uwezekano kuipata mara tu inapopotea.
  8. Sungurajv

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya bikra katika mapenzi

    Umeibiwa wewe. Siku hizi bikra zinatoka zenyewe kwa sababu mbali mbali. Labda ni chini ya 18 years old
  9. Sungurajv

    JamiiForums Tanzania Ni uongo upi mkubwa zaidi umewahi kuambiwa?

    Mke wa mtu sumu
  10. Sungurajv

    JamiiForums Tanzania Risasi zikipigwa juu angani uwa zinaenda wapi?

    Kwa kawaida risasi ina umbali wa mwisho kutua ikitegemea inipigwa na silaha aina gani
  11. Sungurajv

    JamiiForums Tanzania Mwanangu Zamda simuelewi kabisa

    Yawezekana karithi tabia chafu fanya uchunguzi kabla ya kumlaumu mtoto
  12. Sungurajv

    JamiiForums Tanzania Wabunge wengine hawajui kabisa dunia inakokwenda

    Huyo kuna kila haja ya kumtumbua majipu haraka sana tena bila ganzi. Hawo ndio wahujumu uchumi. Yawezekana ana ma lory ya mkopo huyo sasa anaona serikali ikiwekeza ktk leli atakosa biashara.
  13. Sungurajv

    JamiiForums Tanzania JWTZ: Mashujaa waliojitolea kutulinda

    Hii shairi ipo vyema sana. Me nafikiri kila muwamba ngoma huvutia kwake. Tunasubiri nanyi mlete shairi lenu tuone limesimamaje? Me nawakubari sana hawa mashujaa wetu na kama huwakubari omba Uraia wa Somalia, DRC Kongo au Sudan. Utatuambia
  14. Sungurajv

    JamiiForums Tanzania Nini cha kufanya, nimeibiwa simu Samsung S6

    Jitahidi ukipata nyingine weka anti thief ili ikusaidie kupatana sim mara inapopotea au kuibiwa. Pole sana.
  15. Sungurajv

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kwenda kusoma Iran

    Nenda usichelewe maana hata kama ni kifo kinaweza kukukuta hata hapa nyumbani. Usiogope Mungu atakulinda na utarejea tena hapa nyumbani.
Back
Top Bottom