How to track a stolen PC

Hansy wa East

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
447
230
Wakuu hii kitu kama inawezekana naombeni msaada nimeibiwa PC sasa kama kuitrack kwa kutumia serial number inawezekana tupeane mautundu. Pc yenyewe ni hp envy recent version ya touch screen. Natanguliza shukrani
 
Wakuu hii kitu kama inawezekana naombeni msaada nimeibiwa PC ssa km kuitrack kwa kutumia serial number inawezekana tupeane mautundu. Pc yenyewe ni hp envy recent version ya touch screen. Natanguliza shukrani

hiyo isahau tu, computer ni moja ya vitu vigumu sana kutrack hasa mtu akibadilisha OS tu kila kila kinaanza moja na huwezi weka tracking software kwenye BIOS, hata advanced programmers wakiibiwa machine wanapotezea tu unless aliyeiba hajafanyia installation.
 
Thanks mkuu hapo ndo naamini sikufanya chaguo sahihi bora ningenunua mac maana pc security ndogo sana
 
Pole. Ila ukipata nyingine iwekee anti thief program ili uwezekano kuipata mara tu inapopotea.
 
kama hukufanya maandalizi sahau, ila next time kama una pc nzuri na upo radhi kutoa hela kuilinda unaweza kuifanya ikiibiwa uweze kuipata. pc zote za intel za hivi karibuni zenye processor zinazosuport vpro zina kitu kinaitwa AMT ambacho kinamruhusu admin kutrack pc hata ikiwa imezimwa, imebadilishwa os, imetolewa hdd au hata ram. ila vitu kama hivi vinahitaji utaalamu zaidi hivyo inabidi ulipie sometime kwa mwezi au kwa mwaka ili kukitokea matatizo uweze kusaidiwa.

cheki zaidi hapa kuhusu vpro
Intel vPro - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Asante sana nilikua nasubiri Chief nilikua nasubiri sana mchango wako ktk uzi huu nimeielewa naona nilichelewa kuijua hii kitu.
 
Back
Top Bottom