Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,804
hata mimi ninashangaa. taifa limepoteza kichwa cha maana maana hata baba yake ni mtu wa kutegemewa (sijui kama bado yuko hai). Top 3 ya darasa kwa olevel alikuwa hakosi. high school ndio alipata marks mbaya (div 3 mbaya hadi kuamua kwenda russia).
Mkuu naona umeamua kuiponda Russia na walioenda Russia. Sidhani kama wote wako hivo. Kila sehemu hutoa fyatu kama hao hata walioenda States, Euro ai hata hapa bongo.
So hapa jaribu kujikita kwa huyo mpenzio tapeli na uache kuhatibu the mighty name of Russia.