rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,106
- 18,713
Mngh!, ukipata watoto nadhani hutokubaliana na hii kauli yako mkuu
Nikipata wajukuu labda
Mngh!, ukipata watoto nadhani hutokubaliana na hii kauli yako mkuu
Usiwe na wasiwasi sasa katatulia maana kalichokua kakitafuta kamekapata...Habari zenu,
Nimejiunga JF kwa kwa malengo mbalimbali mojawapo likiwa ni kutaka kuuliza wadau na kuomba ushauri kuhusu mtoto Zamda, anamiaka 15 yupo form 3 hapahapa DSM, lakini huyu mwanangu ni malaya sijapata kuona, nimemkataza saaana na kumuonya lakini hakasikii, nikakakbidhi kwa ndugu zake wakanyooshe wapi, leo kamefukuzwa shule kana mimba, nimeshindwa hata cha kufanya wadau.
Ushauri wenu
NIMETUMWA NA JIRANI YANGU ITS NOT ME
Mbona Zari Ana watoto 4 na umri umeenda na bado chuchu saa 6 na mvuto bado anao????Hapo ndio mwisho wa mapepe...maziwa kugeuka malapa,mvuto Ku "depreciate" na soko kuporomoka....haitaji tena maombi manake vidume wenyewe hatumtaki tena tumamwachia baba mtoto
Kutunzwa, kujitunza na kukitunzaMbona Zari Ana watoto 4 na umri umeenda na bado chuchu saa 6 na mvuto bado anao????
Unadhani watu wote wapo mjini??Nashauri, mbane akueleze baba wa hiyo mimba ni nani...
Akikataa, mnyime matumizi yote (ila sidhani kama utaweza kuvumilia)
Ukishindwa-: Mpe nauli arudi kijijini kwao na baba yake ili akajifunze huko.
MuozesheHabari zenu,
Nimejiunga JF kwa kwa malengo mbalimbali mojawapo likiwa ni kutaka kuuliza wadau na kuomba ushauri kuhusu mtoto Zamda, anamiaka 15 yupo form 3 hapahapa DSM, lakini huyu mwanangu ni malaya sijapata kuona, nimemkataza saaana na kumuonya lakini hakasikii, nikakakbidhi kwa ndugu zake wakanyooshe wapi, leo kamefukuzwa shule kana mimba, nimeshindwa hata cha kufanya wadau.
Ushauri wenu
NIMETUMWA NA JIRANI YANGU ITS NOT ME
Muozeshe
Mbona Zari Ana watoto 4 na umri umeenda na bado chuchu saa 6 na mvuto bado anao????[
Kwa mawazo yako kuna utamu pale..???
Et samahan,unaweza kuntajia vyuo dizain ya datastar ambavyo vimesajiliwa na nactemwache alee mimba then mtoto, akikuakua mpeleke asome QT kama amefaulu form 2 amalizie mwaka mmoja, akimaliza cha nne mpeleke vyuo type ya DATASTAR TRAINNING COLLEGE akasomee hotel management atapata kazi fasta, ukishindwa nichek, hamna kuhuzunika maisha yenyewe mafupi haya, sie wengne tuliishia form 2 na tumetusua tunasoma sasa hv baada ya mambo kunyooka
kama kilimanjaro, inategemea upo mkoa gani maana hivi vyuo vingi havina branchEt samahan,unaweza kuntajia vyuo dizain ya datastar ambavyo vimesajiliwa na nacte