Borat69
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,522
- 1,761
Hapana mkuu nilikuwa sijui. Nimezoea kwetu kuna supu ya mchemsho na kichuri.Mkuu unajua kuna Supu na pia Mchemsho?
Hapana mkuu nilikuwa sijui. Nimezoea kwetu kuna supu ya mchemsho na kichuri.Mkuu unajua kuna Supu na pia Mchemsho?
Mkuu Rukia wako yupo salama nilifikisha salamu jana jioni, aisee ile supu ni kibokoAisee hapo Morena wana supu nzuri sana ya mchemsho. Msalimie sana Rukia hapo.
Tehe tehe..mkuu Rukia si wangu. Nashukuru kwa kufikisha salamu.. Ile supu najua ulipiga bakuli mbili kibingwa mkuu. 😀Mkuu Rukia wako yupo salama nilifikisha salamu jana jioni, aisee ile supu ni kiboko
Sawa njoo utolewe bikra hapaPumbavu wewe. Usilolijua ni Kama usiku wa giza kwako.
Nikija hapo ulipo wewe kenge mpaka nakufikisha kunakostahili utakuwa umeshamlilia mama yako mzazi Kama mara elfu sabini. So usitake kabisa Nije ulipo wewe mshenzi. Muulize Yericko Nyerere.Sawa njoo utolewe bikra hapa
Hahaha kua makini hapa sio Instagram, kumbe we ndo ulimfikisha Yericko Nyerere pale aliko. Hongera sana mshenzi na nusuNikija hapo ulipo wewe kenge mpaka nakufikisha kunakostahili utakuwa umeshamlilia mama yako mzazi Kama mara elfu sabini. So usitake kabisa Nije ulipo wewe mshenzi. Muulize Yericko Nyerere.
Ok.Hahaha kua makini hapa sio Instagram, kumbe we ndo ulimfikisha Yericko Nyerere pale aliko. Hongera sana mshenzi na nusu
Mm naitwa shabiby,sitembei na wafanyakazi wangu wataniharibia kazi
Pesa haishindwi kitu, aliporudi kutoka Zimbabwe alikuja na nyaraka kwamba ile meli aliinunua Kenya na alikuwa eti kiishamuuzia kapteni Haule, nahodha aliyekuwa akiiendesha ambaye alizama nayo. Ikizingatiwa ilikuwa nyakati za mzee wa Msoga jalada lilifungiwa polisi hata mahakamani halikufika.
Ni kweli mkuu kuna kajamaa ndo kalimpa hizo mbinu alafu kakavuta 100 milion kesi ikaishia hapokama hadithi ya za watoto wanao sema hadithi yangu imeishia hapo!Pesa haishindwi kitu, aliporudi kutoka Zimbabwe alikuja na nyaraka kwamba ile meli aliinunua Kenya na alikuwa eti kiishamuuzia kapteni Haule, nahodha aliyekuwa akiiendesha ambaye alizama nayo. Ikizingatiwa ilikuwa nyakati za mzee wa Msoga jalada lilifungiwa polisi hata mahakamani halikufika.
Haha ha unataka mshana jr amshushe busha Dr Tulia? Sijui hilo kama linawezekana,, ngoja aje mwenyewe atujuze mautaalamuTukisema ccm wote vilaza watu wanatokwa mapovu ila hili chama lina laana hii sio kawaida unaweza ukawa mzuri tuu ukishaingia huko sijui kuna majini gani hebu ona huyu Dr tulia washamroga.mshana Jr saidia hili chama linaangamia