make me sing....Wakuu tunashuhudia mara nyingi askari wakipiga risasi angani, lakini hatujawahi kusikia zikirudi chini au kuziokota chini, sasa uwa zinaendaga wapi?
Risasi ni gamba (shell) linalobeba unga uliochanganywa na vilipuzi hivyo inapotoka kwenye bunduki lile gamba hulipuka(ule mlio unaousikia)Wakuu tunashuhudia mara nyingi askari wakipiga risasi angani, lakini hatujawahi kusikia zikirudi chini au kuziokota chini, sasa uwa zinaendaga wapi?
maganda huwa yanabakia hapo hapo risasi ilipopigwa na ila risasi inapopigwa kinatoka kipande kidogo sana na huwa inaenda kwa speed huku ikiwa inaisha.Mie navyojuwa huwa maganda ndo yarudi japo hayatui hapo hapo yanatua mbali
Ngoja nikafanye jaribio nilete jibu
Kuna MTU nakutanaga naye maeneo nataka nimchukulie nifanyie kajaribio