Askari magereza anafanya biashara ya kuendesha taxi

jaffari yogo

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
685
148
Huyu askari anapaki eneo la hospitality ya DDH BUNDA na akiambiwa na madaktari kupaki vizuri anakaidi amri yao.
Je, ni halali kufanya biashara hiyo?
 
Mkuu Baada Kumaliza Kutekeleza Majukumu Yake Mtumishi Wa Umma Anaruhusiwa Kufanya Kazi Zake Binafsi Kama Hiyo Ya Kuendesha Biashara Ya Tax .
Kuhusu Kufanya Park Kwa Usahihi Hayo Ni Mambo Ya Kuekezana Tu.
 
Ukitimiza wajibu wako ukafanya extra curriculum activities hakuna kosa.
 
Huyu askari anapaki eneo la hospitality ya DDH BUNDA na akiambiwa na madaktari kupaki vizuri anakaidi amri yao.
Je, ni halali kufanya biashara hiyo?
kwani wewe muda wako wa ziada unafanya kazi gani? unalala tu? Amejiongeza mwache aongeze kipato ili mradi tu anatekeleza majukumu yake kwa mwajiri. Lakini pia awe na nidhamu, afuate maelekezo anayopewa ili afanye biashara vizuri
 
Ni sawa hiyo ndo plan b yake coz anaongeza kipato kwa mdao anaweza tengeza shgap kwan
 
M
Ni sawa hiyo ndo plan b yake coz anaongeza kipato kwa mdao anaweza tengeza shgap kwan
Mbona wako wengi we umemuona wa bunda tu
Hilo LA ubabe ni suala la kuripoti polisi Kama ndio shida uliyoona
 
kuna walimu wanaendesha bodaboda huko ikwiriri, kiziko, kimanzi chana, kwa rubala, kisele, kiparang'anda, so askari kuendesha tax sio issue
 
kuna walimu wanaendesha bodaboda huko ikwiriri, kiziko, kimanzi chana, kwa rubala, kisele, kiparang'anda, so askari kuendesha tax sio issue
Anafanya biashara mda wa kazi tena kila siku na ndiye huyu hapa chini
IMG_20160302_112310.jpg
 
Kama amemaliza kazi anayo haki ya kujitafutia riziki.

Sioni tatizo
 
Muache kama unajua maisha ya askari usingeleta majungu hapa.mbona wewe ni askari maisha yamekupiga unaona umchongee.
 
Back
Top Bottom