Baba yako kagame anaijua JWTZ vyema
So huwez kuisifia kamwe
Tunaijua hilo.
Rwanda vs tz ??? Tz jeshi lake unalijua unalisikia? Nenda kawaulize uganda watakupa habari kamili
Muulizeni Rais Wenu Mstaafu KIKWETE Kwanini Aliwahi UPESI Kumtuma Mwandosya Kigali Kuomba "Po" Kwa MWANAMUME Kagame. Tena Mna Bahati Sana Kwani TANZANIA Yote TULISHAISETI Na Ilibaki Ku " Trigger " Tu Ili Muanze KUTAFUTANA Huko. Chezea Kote Ila MSITHUBUTU Kuichokoza RWANDA Kwani HAMTAAMINI Macho Yenu Nini TUTAKIFANYA. Kilichotufurahisha Tu Ni Kwamba Safari Hii WATANZANIA Kidogo Mmepata AKILI Baada Ya Kumchagua Rais ANAYEENDANA NA SERA ZA KINYARWANDA NA HASA ZA KABILA LANGU TUKUFU NA LENYE NGUVU YA MUNGU LA KITUTSI Dr. Magufuli. Labda Kwa KUKUSAIDIA Tu POPOMA Wewe WANYARWANDA Wote TULIAMUA KUPAMBANA USIKU NA MCHANA KWA KUTUMIA AKILI, MAARIFA NA MBINU ZOTE ZILE UZIJUAZO NA USIZOZIJUA ILI Dr. MAGUFULI ASHINDE Kwani KIUHALISIA Anafanana 99.999% Na Rais JEMEDARI Na MWANAMUME Paul Kagame Na HAKIKA Tanzania Sasa ITANYANYUKA KIUCHUMI NA KIMAENDELEO. Jitahidini Kuwa Na JESHI DOGO AMBALO NI VERY EFFECTIVE NA WELL EQUIPPED Na ACHENI KUWA NA JESHI KUBWA LENYE 25% YA WAPAMBANAJI WA KWELI au Wa UHAKIKA. Letu NI DOGO MNO ILA 95% LIMETUKUKA KWA KILA IDARA BILA KUSAHAU KUWA LINAONGOZWA NA WATUTSI KWA 98% AMBAO TUMEJAALIWA AKILI ZA KIPEKEE KAMA ZA WAYAHUDI NA MWENYEZI MUNGU.
Nenda ukatom..we ulale sasa.

Point kubwa yaani mtunga shairi kajilinganisha na wafanyakazi wa kada nyingine huku akisahau kwamba anaishi maisha mazuri na raha kuzidi hata wafanyakazi wa kada nyingine hususani walimu.Mbona kuna raia wanaishi maisha mabovu tena ya kusikitisha..na asilimia kubwa ya wanajeshi wa hapa tanzania wanaishi kwa raha ..
Rwanda vs tz ??? Tz jeshi lake unalijua unalisikia? Nenda kawaulize uganda watakupa habari kamili
Duh. Gentamycine ni mnyarwanda? Adonbilivit
Hajui kitendo cha kutolazimishwa ni uzalendo na ushujaa wa hali ya juu.Baba yako kagame anaijua JWTZ vyema
So huwez kuisifia kamwe
Tunaijua hilo.
Pamoja sana Mkuu!Nipo mkuu .
Tunaendelea kuijenga nchi yetu tukufu
Niipendayo kwa moyo wote
Nafikiri hata kada zingine za utumishi wa umma zinakutana na changamoto kwa namna yake.
Hata walimu, madaktari na manesi wameisha wahi kugoma kutokana na mazingira mabovu ya kazi.
unataka artistic device wakati wewe mndendeule wa mbinga litembo ruvuma acha uzungu sifia kitu kizurisamahani ndugu unaweza kuleta shairi hili kwa ki ingreza pia. Sio kwamba sijaelewa ila naamin kuna utaalam na artistic devices nyingi zimepotea baada ya kutafsiri japo maana itabaki kuwa ileile.
Duc in Altum
Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu.
Tanzania ni nchi ya amani na wanajeshi wetu ni kula, kulala, kunywa bia zisizolipiwa kodi na gwaride. Wamefanya kazi ni kuvamia uraiani na kupiga raia. Kwenye disaster kama ile ya Kilombero raia ndio waliobeba maiti iliyoopolewa.
Ili jeshi liko under utilized kabisa.
So I respectfully disagree. Hiyo poem inawafaa hao hao wa Nigeria.[/QUOT
najua wewe ni msomi tena mwalimu ndio maana yanakutoka subirini saa ile yaja