Kwani Mto Kagera unaoingi Ziwa Nyanza unaanzia wapi? Sio Rwanda. Inawezekana mtu kaitaja Rwanda hapa, na siaona maana sijasoma kila kitu, lakini kwa mantiki ya hija hapa naona inawezekana tunapigia debe Rwanda?
Huu mjadala poa lakini nsona kuna mambo hayajakaa sawa!!!
Umesema kwa ujasiri ... "Hakuna nchi iliyowahi kupenya hapo ..."
Umewahi kusoma historia ya Uswiss au Ubelgiji? Hebu isingalie alafu tuendelee
Ninaona kama kuna jambo fulani hspa ambalo linazidi UKenya au UTz. Take it to Reginal...
Batbarosa. Ngoja nikuulize!!
Hivi maana ya *Barbarosa* ni nini? Jina hilo lilikuwa na mahusiano gani na unyama waliofanyiwa Warusi na dikteta mmoja wa Ulaya? Kwa nini umejiita jina hilo ?????
[emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321]Napita tuu lakini ...[emoji1321][emoji1321][emoji1321]
Poleni sana sana. Swali
Analouliza ni Muhimu sana. "Ugonjwa huu unasababishwa na nini". Na pia nadhani ni
Muhimu sana kujua - inakuwaje unafika katika banda (transmission) ni muhimu kujua hilo ili kupata mbinu za kuzuia usitokee tena.
Hivi nani anajua ktk mtandao ni wapi bei hizi huwekwa ili tulinganishe na kuamua ni mtandao gani wa kutumia. Nani mtaalam atusaidie hapa? Ninachojua mimi ni kuwa sipati mtandao kwa kiasi/bei ya awali.
Hivi nchi nyingine hali ikoje? Mbona mkonga wa Taifa umefika hapa kwa nini bei bado ni ya juu...
Mpe hongera sana sana mdada na mama huyu. Anaonesha mfano. Jamani huyu mama ni shujaa. Wengine nao wahamsishwe wajitokeze! Elimu haina mwisho na huu ni mfano hai!!!
Huyu ni mama wa shoka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.