Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 15,795
- 28,451
Watu wote wanao tokea kanda ya huko wanajulikana ni wachaga.full stop
Kwani wakwaya na wakerewe ni wajita???
Sababu ni kufanana kwa lugha tu???
Mkuu hakuna kabila la wachagga mrombo ni tofauti na mmachameWameru wametokea uchagan mwanzo walikua wachaga wote kuna baadh ya koo tunashare na wachaga
mhh tuwangoje warudi x-mass ndo tutapata jibu sahihi maana ukiangalia wameru wanawake bomba sana na wachaga ni samsung f TV
Ndio bosi kama kina urio wapo wachaga na wameru
wameru ni wa machame walio hamia arusha kutafuta ardhi ya kilimo na mifugo
Lakini ujue Lowassa ni mmasai na si mmeru wala mchaga.
Good question.., hivi inasaidia nn kubagua kila mtu kwenye nchi yako.., wakiisha unaanza kubagua watu ndani ya kabila lako.., wakiisha utambagua nani?!Will it make any difference?
Hujanijibu swali langu kwa ufasaha.Nilitaka kujua kama wameru wa tz na wa huku Kenya ni wale wale ni kabila moja lilipoteana au vipi?Wameru wa Kenya wanaishi kando ya mlima Kenya na ni wakulima na kwao vyakula vya aina nyingi viko kwa wingi sana pia wanapanda majani chai na kahawa.Kitega uchumi chao kuu ni mmea wa mirungi.Wanapata hela sana kwa mirungi na utapata gari zao za mirungi zikielekea uwanja wa ndege JKIA kwa kasi ya ajabu.Hiyo ndo sifa yao mambo yote yao wanafanya kwa kukurupuka na pia wana hasira kali mno.Ukimtania anakukata kwa panga,wanakatana kwao saana na mapanga na visu ambavyo wengi wao hawakosi kutembea navyo.Hadi mwanaume asipoonekana ana alama au hata amekatwa pua au sikio kwao huyo si mwanaume!
Erooo konshiwooo!!!! Duu mademu wa kichaga flat tv co wakimeru hitachi????
Nenda sura kaoe huko toto bomba......
Kimeru ni.sawa na kijapani
Wakuu nimekaa na wameru kimeru kinafanana mno na kimachame kwa asilimia 98% nauliza je wameru ni wachaga?majibu please
Na mimi nauliza, wachagga ni watz?!