purtpurt
Member
- Feb 19, 2014
- 38
- 6
Wakuu nimekaa na wameru kimeru kinafanana mno na kimachame kwa asilimia 98% nauliza je wameru ni wachaga?
Unataka kwenda kutambika???
Wakuu nimekaa na wameru kimeru kinafanana mno na kimachame kwa asilimia 98% nauliza je wameru ni wachaga?
Unataka kwenda kutambika???
Wamefanana mambo mengi jografia,luga,kilimo,utamaduni,desturi pia wameru ni wachapakazi sana
Wameru dah hii Kabila kiboko.wana roho za chuma hawa
Chanzo ni LOWASSA
Hujanijibu swali langu kwa ufasaha.Nilitaka kujua kama wameru wa tz na wa huku Kenya ni wale wale ni kabila moja lilipoteana au vipi?Wameru wa Kenya wanaishi kando ya mlima Kenya na ni wakulima na kwao vyakula vya aina nyingi viko kwa wingi sana pia wanapanda majani chai na kahawa.Kitega uchumi chao kuu ni mmea wa mirungi.Wanapata hela sana kwa mirungi na utapata gari zao za mirungi zikielekea uwanja wa ndege JKIA kwa kasi ya ajabu.Hiyo ndo sifa yao mambo yote yao wanafanya kwa kukurupuka na pia wana hasira kali mno.Ukimtania anakukata kwa panga,wanakatana kwao saana na mapanga na visu ambavyo wengi wao hawakosi kutembea navyo.Hadi mwanaume asipoonekana ana alama au hata amekatwa pua au sikio kwao huyo si mwanaume!
M@vi yako kamuulize maaamako[/QUOTE
Shida ya wameru ni hii hapa, badala ya kujibu matusi tu.
Wana roho mbaya, ni watu wa visasi, chuki , fitina nk Ukiwa kazini akawa subordinate wako jiandae na hujuma lazima ushushwe. Generally speaking kaa nao chonjo. Watu watajibu kwa mihemuko lakini ndo ukweli na log off
Erooo konshiwooo!!!! Duu mademu wa kichaga flat tv co wakimeru hitachi????
Nenda sura kaoe huko toto bomba......
Wameru ni wameru na wachagga ni wachagaa.Wameru lugha yao ina ukaribu zaidi na lugha ya kimachame.
Achana na mipaka.kuna mmasai meru.meru imekakana na (W) hai.sio longido.simanjiro wala terati labda kisongo.mnadani
Hahaha wew sio mtafiti...watani wa wameru ni wapare na warangi, ila wengi wao hawajui/ hawapendi utani kivile.
Ni kweli wameru wana udhaifu wao but endapo mtaheshimiana nao ni watu wa maana wanajua kushikamana, wanapenda maendeleo sana
Georgemwaipungu nimeishi kila mkoa nafaham makabila mengi pamoja na la kwako. KilA kabila lina udhaifu wake, kwangu mimi hakuna kabila linaweza kujisifu hata langu pia linaapungufu mengi tu.
Udhaifu mkubwa wa wameru ni hasira, kwani hawapendi kudharauliwa hata kidogo. Wakikasirika huungana na wanaweza kufanya lolote hata askari wanafaham hilo, huwa hawaingii kichwa kichwa.