hiyo Smile ni kwa Matajiri na afisadi mkuu.Vipi hawa smile??
Yep...
Ukijiunga na hilo Bando la tsh 2000 wanakupa 3Gb kutumia 24hr ila ikifika saa 5usiku inakuwa unlimited full speed wanzo mwisho na hawazigusi zile Mbs zako ilizobaki hadi saa 12 asubuhi.
So kama wewe ni mdau wa kupakua mizigo mizito unaweka mitego tu usiku then asubuhi umaokota madini yako
Najiugaje?jiunge na bundle ya zantel tsh 2000/siku wanakupa 3GB ya kutumia 24hr + unlimited saa 5usiku -12asubuhi.
Jana nimejaribu nimeweza kupakua Driver pack solution 9GB na windows10 preview(pro+Enterprise) zina 7GB jumla nimepakua 16Gb offer huku 3GB zangu mpaka sasa naitumia hapa yaani siaamini kabisa speed ni 1.3MB/sec hadi raha
Najiugaje?
hiyo Smile ni kwa Matajiri na afisadi mkuu.
Heri ninunue Bundle la zantel 20GB+Usiku Bila kikomo kwa tsh 25,000 mwezi mzima