Recent content by Papaa man

  1. Papaa man

    Mpaka 2020 mtamjua Magufuli ni nani, kilio cha samaki...

    Napenda niamini tu kuwa uongozi huu sio mbaya ila sisi wa walengwa ndio wabaya, tumezoea sana uvivu na ubinafsi wa kufikiri na kutenda, hivyo tumebakia kulaumu tu kila tunachotendewa, we have be aware that every action has +ve and -ve impact, let's wait and see
  2. Papaa man

    Biashara ya Uchawi Tanzania

    Upo uwezekano aliyekosea ni askofu wakati wa misa na kusema ni misa ya pasaka badala ya xmas na sio mleta uzi
  3. Papaa man

    Hodi, hodi!

    Nami pia ni mgeni, ila karibu sana
  4. Papaa man

    Ajali Soni-Lushoto: Fuso laua zaidi ya watu 10 baada ya kupinduka kwenye milima ya Usambara

    Poleni sana wafiwa kwa kupoteza wapendwa wenu na Mungu azilaze pema roho za marehemu wote, amina
  5. Papaa man

    Ushauri kwa rais mtarajiwa edo

    Ushauri mzuri, tusubiri aufanyie kazi
  6. Papaa man

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Wanaomtetea sio man utd fans, ni wenzetu wa upande wa pili ambao daima wanataka jahazi liendelee kuzama, kwa ufupi tu nikwamba "HATUMTAKI"
  7. Papaa man

    Why do the best people die so soon?

    No comments Sir, only God knows!
  8. Papaa man

    Kashfa ya makontena yamuibua Ridhiwan Kikwete!

    Ahahahaha hapo mm simo
  9. Papaa man

    Kashfa ya makontena yamuibua Ridhiwan Kikwete!

    Mmmh, ngoja waje wanaolijua hili
  10. Papaa man

    Ni miaka 10 sasa napeleka pesa bank bila kuibiwa.

    Ni kweli Jindal Singh, kwasasa bora ukutane na mnyama kuliko binadamu, uaminifu ni sifuri kabisa, hongera pia kwa maamuzi ya kuachana na hiyo kazi ya hatari
  11. Papaa man

    Msaada: Namba za simu za kiwanda cha cement cha Dangote, Mtwara

    NAFASI ZA KAZI DANGOTE INDUSTRIES LIMITED TANZANIA MWISHO WA KUTUMA MAOMBI TAR 6 JANUARY 2016 font size Print Email DANGOTE INDUSTRIES LIMITED TANZANIA JOB OPPORTUNITIES We invite you to be part of a very large State-of-the- Art Cement Manufacturing Plant? Dangote Group, one of Africa's largest...
  12. Papaa man

    Special thread krismasi ya 2015

    Thanx God for this day!
  13. Papaa man

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Aende zake tu, hakuna namna nyingine
  14. Papaa man

    Daraja la kigamboni (latest pictures)

    Kazi nzuri, hongera kwa wahusika
  15. Papaa man

    Maswali ya Mwanangu kwa Mama yake yamenishtua!

    Kaka endelea kudadisi hapo kuna jambo lipo, watoto wa siku hizi are so intelligent, usikute kuna hali aliiona wakati upo safarini
Back
Top Bottom