Mkuu Papaa man, hapo kwenye tangazo hakuna namba za simu. Na zaidi ya yote binafsi siamini kama hilo tangazo la nafasi za kazi kama lina ukweli wowote. Tangu lini website ya viwanda vya Dangote ikawa na domain name ya "dangoteprojects"? Website yao sahihi ni www.dangote.com. Matapeli wako tayari hata kulipia tangazo radioni, tv, gazetini au media yoyote mradi tu wanaamini kuwa watafanikiwa kupata angalau watu wachache wa kuwatapeli. Sipendi kukatisha watu tamaa kuomba hizo nafasi za kazi lakini kuchukua tahadhari pia ni kitu kizuri.
Mbona hata hyo www.dangote. Com ni invalid email.. So ipi ni sahihi!??
Ndiyo Prisca. Ni invalid e-mail lakini ni valid website. Jaribu kuingia utaona info nyingi tu za Dangote kupitia pages zake mbalimbali. Lakini ukifungua www.dangoteprojects.com utaishia tu kuona homepage yake lakini links za kukupeleka kwenye pages zingine zilizo kwenye hiyo homepage hazitakuonyesha chochote.
Mkuu Papaa man, hapo kwenye tangazo hakuna namba za simu. Na zaidi ya yote binafsi siamini kama hilo tangazo la nafasi za kazi kama lina ukweli wowote. Tangu lini website ya viwanda vya Dangote ikawa na domain name ya "dangoteprojects"? Website yao sahihi ni www.dangote.com. Matapeli wako tayari hata kulipia tangazo radioni, tv, gazetini au media yoyote mradi tu wanaamini kuwa watafanikiwa kupata angalau watu wachache wa kuwatapeli. Sipendi kukatisha watu tamaa kuomba hizo nafasi za kazi lakini kuchukua tahadhari pia ni kitu kizuri.
Sawa mkuu Chaza. Kama nilivyotoa angalizo muhimu ni kuchukua tahadhari tu.Ni ngumu ku validate tangazo kwa sababu tu liko kwenye gazeti (hardcopy au online). Ni kweli tangazo lipo kwenye gazeti lakini UKWELI wa kilichomo kwenye tangazo ndiyo kitu muhimu.Hilo tangazo ni Genuine I can Prove! Lipo kwenye hardcopy gazeti la Daily News nadhan la Jumanne au Jumatano week hii. Nadhani hiyo softcopy waliitoa Daily News online! Na anuani ziko hivyo hivyo!
Mkuu Papaa man, hapo kwenye tangazo hakuna namba za simu. Na zaidi ya yote binafsi siamini kama hilo tangazo la nafasi za kazi kama lina ukweli wowote. Tangu lini website ya viwanda vya Dangote ikawa na domain name ya "dangoteprojects"? Website yao sahihi ni www.dangote.com. Matapeli wako tayari hata kulipia tangazo radioni, tv, gazetini au media yoyote mradi tu wanaamini kuwa watafanikiwa kupata angalau watu wachache wa kuwatapeli. Sipendi kukatisha watu tamaa kuomba hizo nafasi za kazi lakini kuchukua tahadhari pia ni kitu kizuri.
Sawa mkuu. Vipi pengine una namba yao ya simu ya mezani unisaidie?Hiyo " projects " ipo mkuu na wala sio wez ata kidogo ila unge sema mail haziend nge kuelewa. Na hiyo mail imetoka akat project ya kujenga kiwanda inaanza ndo maana unaiona. mwenyewe kuna ishu nilikuwa naifanya hiyo mail niliyokuwa naitumia na hawa mabwana ina neno " projecta" so isukupe presha. Ila ujue kule unaenda onana na mapunjiru mkuu