Mpaka 2020 mtamjua Magufuli ni nani, kilio cha samaki...

Mpaka 2020 mtamjua Magufuli ni nani, kilio cha samaki...

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
Mpaka ifike 2020 watanzania watatambua magufuli ni nani, tujuao magufuli si mwanasiasa na yupo kiutendaji na kibaya zaidi anaamini alichokiamini hakina mapungufu ,ushahidi mwingi upo wakati alipokuwa ujenzi.

Kiongozi yeyote mwenye kujiamini sana, mwenye kulewa sifa na madaraka huanza kuharibu bila kujijua

Angalia hata wewe.Nyumba zaidi ya 8000 kubomolewa bila kulipa choxhote au kupewa viwanja mbadala na huku maeneo yanayovunjwa yakidaiwa kujengwa vitega uchumi kama city park. tutulie hivo hivo kama kilio cha samaki

Wafanyakazi wengi kutolewa kwenye payroll bila sababu za kueleweka mfano halisi hakuna hata mwenye kufatilia wala kutaka kujua kweli kilio cha samaki.

Bidhaa,vyakula, vyote vimepanda bei lakini hakuna mwenye kusema maskini ataakilia nani atakusikiliza wakati hapa no kazi tuu, kweli kilio cha samaki.

Huduma na vipimo vya afya vimepanda being,dawa bado hazitoshi watu wanateseka mahospitalini, lakini utamlilia nani kila MTU kashughulishwa na hapa kazi tu kweli kilio cha samaki.

Mawazo mbadala yamepigwa marufuku na wazirivmkuu ili wenyewe tu ndio wasikike,je kilio cha mnyonge kulechini nani atamsemea,nani analiona hili kila MTU hapa no kazi tu, kweli kilio cha samaki.

Watu wanaibiwa kura mchana kweupe na meya anasimamishwa na wanaodai haki zao wanapelekwa kwa Plato kweli kilio cha samaki.

Sisikii tena suala la katiba mpya limefunikwa,usichangie likapigwa teke nani anajali, watu wamegeuzwa vipofu hats ukilia utakua kama samaki machozi huenda na maji.

Mpaka 2020 mtamjua Magufuli,mtaisoma namba,ila itakuwa kama machozi ya samaki.

Argue,don't shout!
 
Last edited by a moderator:
Wewe si pro ccm ulikuwa unawashabikia hao kina Magufuli.
 
...hao ni akina nani wameondolewa kwenye payroll bila sababu?
 
Ingawaje ni kweli kwamba utawala wa Magufuli utakuwa utawala wa hovyo sana kuwahi kutokea hapa Tanzania.
 
Wazungusha mikono mlitaka tumchague mzungusha mikono mwenzenu? Lalamikaa,:subiri matokea ya 2020
 
Tuna safari ndefu sana kupata raisi mwenye kuipeleka Tanzania mbele. Tuna bahati mbaya sana kupata marais wa hovyo hovyo na viongozi kwa ujumla, hasa awamu hizi mbili. Mungu atusaidie kwakweli
 
Wanajaribu kutumia staili ya wakina marehemu Hugo Chaves itacost sana na ipo siku wananchi watauta kwa ushabiki wao huu wa kijinga na ipo siku watu watesema mara 100 na utawala wa kikwete
 
Hamjaona ili clip jamaa anasema akiwa rais watu watalimia meno?
 
Napenda niamini tu kuwa uongozi huu sio mbaya ila sisi wa walengwa ndio wabaya, tumezoea sana uvivu na ubinafsi wa kufikiri na kutenda, hivyo tumebakia kulaumu tu kila tunachotendewa, we have be aware that every action has +ve and -ve impact, let's wait and see
 
  • Thanks
Reactions: KXY
Mleta bandiko Leo hii ccm imekuwa mbaya? Kaaaazi kwelikweli.
 
Napenda niamini tu kuwa uongozi huu sio mbaya ila sisi wa walengwa ndio wabaya, tumezoea sana uvivu na ubinafsi wa kufikiri na kutenda, hivyo tumebakia kulaumu tu kila tunachotendewa, we have be aware that every action has +ve and -ve impact, let's wait and see

nenda pale kinondoni hananasif uwaulize wale wamama na watoto wao wadogo ukijiwa kisha ulete mrejesho
 
Mleta bandiko Leo hii ccm imekuwa mbaya? Kaaaazi kwelikweli.

...kweli binadamu haridhiki,anahitajika malaika toka somewhere aje kuongoza tz,kila kitu lazima watu wa qn!!!
 
Back
Top Bottom