...hivi ni kitu gani kilichofanya hili daraja lisijengwe kivukoni,kwa mwenye utaalamu pliz.
...hivi ni kitu gani kilichofanya hili daraja lisijengwe kivukoni,kwa mwenye utaalamu pliz.
Mkuu nafikili kivukoni ni sababu meli zinapita pale kwenda port ingejengwa pale ingebidi tuwe na dalaja la kufunguka na kufunga kupisha meli kupita kwa ufahamu wangu.
yaani kama hiliAu ingebidi lianzie mbali sana ili lipite juu kiasi cha meli kuweza kupita chini kwahio gharama ingekuwa juu zaidi.
mwanachama wa nssf atanufaikaje na hili daraja? assume hakai kigamboni. kwa nini serikari haijengi njia nyingine pale daraja la wami?
Ataenda beach na familia yake kigamboni
Naona wasanii wamepata location idea mpya....wote watajazana kufanya video shooting hapo..lol...
Mkuu nafikili kivukoni ni sababu meli zinapita pale kwenda port ingejengwa pale ingebidi tuwe na dalaja la kufunguka na kufunga kupisha meli kupita kwa ufahamu wangu.