Hodi, hodi!

Irenga

JF-Expert Member
Dec 14, 2015
2,495
1,724
Hodii....
Sina budi kubisha hodi kwa sababu ndio naingia sehemu ngeni ambayo wenyeji wake wamekwisha andaa mazingira yake vizuri.Kwa mantiki hiyo ni lazima niombe utambuzi wenu kwangu ili tuwe nanyi pamoja.
Naombeni ushirikiano wenu.
 
Back
Top Bottom