Kashfa ya makontena yamuibua Ridhiwan Kikwete!

Bado mnaendelea tu kumsakama huyu jamaa na familia yake??? Uzuri wake hata JPM anajua kwanini mnamsakama JK,, kosa lake ni yale majina ya mfukoni,,, kukatwa kwa bwana wenu ndio kunaleta yote haya kila kukicha,, leo x-mass tu kuna thread tatu humu zote anasakamwa JK na familia yake... JK ATABAKI KUWA MWANAUME WA 2015..
 
Mwenye mamlaka aliyepewa kwa mujibu wa sheria afunge huu mjadala...utazuwa mengi na utaleta chuki..si munakumbuka ile clip ya yule dogo wake pia.
 
Jk kajitafutia maadui baada ya kulikata jina la lile fisadi kuu, na kuzuia mita 200, kuna wajinga wanajidanganya kuwa jp anaweza kumfanya chochote jk, endeleeni kusubir


Wewe na le mutuz sawasawa

Umatetea wanaume wenzako wakati hata ela ya kula huna
 
Mwenye mamlaka aliyepewa kwa mujibu wa sheria afunge huu mjadala...utazuwa mengi na utaleta chuki..si munakumbuka ile clip ya yule dogo wake pia.

Acheni woga, watu wanata kujua kinamchomhusu maana ni mtoto wa kiongozi mkubwa nchi hii. Lakini pia mjadala kauchokoza mwenyewe kwa kuongea na vyombo vya habari na kusema mwenye ushaidi auweke hadharani
 
Ni juu ya utoroshaji wa Makontena.

Familia yake inasema mwenye ushahidi autoe.

Soure: magazeti.
MY TAKE.
Jamani toeni ushahidi hawa watu si wa kuwachekea kabisa. Tunajiskia hata ugua tukiskia majina yao.
Mara hii hachomoi huyo
 
mpk.......labda wewe na mimi tunajuwa kitu..ni kheri tumfanyie stara yeye na familia yake
 
Last edited by a moderator:
Kila miaka mitano mtakaribisha jangili litakalo wasafisha halafu mtarudi hapa jf kutafuta ushahidi na kuomba sheria ibadilishwe. Watz mazuzu duniani mnaongoza
 
Ni juu ya utoroshaji wa Makontena.

Familia yake inasema mwenye ushahidi autoe.

Soure: magazeti.
MY TAKE.
Jamani toeni ushahidi hawa watu si wa kuwachekea kabisa. Tunajiskia hata ugua tukiskia majina yao.

Tuachane na hayo mabati tukavamie pale msoga kuna family microfinance imechimbiwa pale
 
Back
Top Bottom