Special thread krismasi ya 2015

Special thread krismasi ya 2015

Heri ya Xmas wakuu, Mungu awe nanyi kwa kila jambo jema
 
Am in dom namshukuru mungu kwa neema na baraka kwa anaenijalia kila leo ,kuzaliwa kwa Jesus iwe starting pt ya kufurahi ,kusameheana na kuvuna neema kwake,nc Xmas
 
Wasalimie sana ndugu zetu wa dom na tunawatakia x-mass njema
 
Heri ya Krismasi kwa wapendwa wangu wote jF Yesu mzaliwa akazaliwe kweli mioyoni mwetu tuache ukale na tianza mapya in Jesus name
 
Ameen mungu pamoja nasi
 
Heri ya Krismasi kwa wapendwa wangu wote jF Yesu mzaliwa akazaliwe kweli mioyoni mwetu tuache ukale na tianza mapya in Jesus name

Tusherehekee kwa amani na utulivu
 
Attachments

  • 1451019689557.jpg
    1451019689557.jpg
    22.5 KB · Views: 87
Sifa na utukufu apewe BWANA mweza yote yeye aliyetuwezesha kuiona x-mass hii, BUT naomba tusheherekee kwa ajili ya utukufu wake yeye aliyezaliwa (YESU), maana kuna watu husheherekea x-mass kwa kutenda dhambi ;wengine leo ndo siku ya clab, wengine leo ndio siku ya kumchit mkeo na kwenda kwa mchepuko, na mengi yanayofanana na hayo .plz tuwe waangalifu katika hilo asije akajuta kwanini alikupa x-mass hiii. Amen
 
Amen na mungu atubariki na kutuvusha huu mwaka salama salimini ili tuione 2016
 
toeni udini wenu hapa...mbona sherehe za maulid haukuanzisha uzi...mnakera sana nyie watu
 
Back
Top Bottom