Mmmh, ngoja waje wanaolijua hili
Anazo ngapi ?Ivi Ridhiwani alifanya kazi taasisi ipi kiasi cha kupata hela nyingi kiasi hcho?
Ivi Ridhiwani alifanya kazi taasisi ipi kiasi cha kupata hela nyingi kiasi hcho?
Ameongea na vyombo vya habari au ameongea Raia Tanzania aka gazeti lake
wamtumbue tu kwani hana kinga tena kwenye utawala huu
Mmmh, ngoja waje wanaolijua hili
Una maanisha le mutuz au Yule wa kufunga viatu.??