Ajali Soni-Lushoto: Fuso laua zaidi ya watu 10 baada ya kupinduka kwenye milima ya Usambara

Determinantor

Platinum Member
Mar 17, 2008
57,766
92,208
Ajali mbaya imetokea Soni Lushoto Tanga na watu wapatao kumi wameripotiwa kufariki baada ya fuso iliotokea kwenye maulidi katika Kijiji cha Mgombezi kuanguka nakubiringika bondeni.
 

Attachments

  • 1451042251292.jpg
    1451042251292.jpg
    57.6 KB · Views: 3,775
  • 1451042266575.jpg
    1451042266575.jpg
    66.7 KB · Views: 3,515
  • 1451042280884.jpg
    1451042280884.jpg
    55.7 KB · Views: 2,964
R.I.P wrote mliotangulia na poleni ndugu na Jamaal kwa kupoteza ndugu zenu
 
Soni kubwa..Sehemu gani mkuu? Nyumbani huko isije ikawa kuna ndugu zetu...hata hivyo pole kwa wote..
 
Inna Lillahi Wainna Lillah Raajurun!!! Mungu Awasamehe Na Kuwalaza Pahala Pema Wooote Waliofikwa Na Umauti, Awape Tahfif Ya Haraka Wooote Waliopata Majeraha!!! Pia Awape Moyo Wa Subira Wale Waliopoteza Wapendwa Wao!!!!
 
Poleni sana wafiwa kwa kupoteza wapendwa wenu na Mungu azilaze pema roho za marehemu wote, amina
 
Back
Top Bottom