Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Van Gaal will go 'sooner rather than later'

Former player Jan Age Fjortoft believes Manchester United manager Louis van Gaal will be sacked and replaced by Ryan Giggs in the next few days, possibly even before Christmas.

Fjortoft, who played for Middlesbrough, Sheffield United and at international level for Norway, now works as a pundit in Germany, and says his contacts have led him to believe meetings to decide Van Gaal's future are at an advanced stage.

He also says the situation at Old Trafford since Sir Alex Ferguson's departure as manager closely resembles Bundesliga side Werder Bremen, who lost Otto Rehhagel as manager after 14 years in charge in 1995.

This clip is from 5 live Sport on Tuesday 22 December 2015.

Chanzo : http://www.bbc.co.uk/programmes/p03csz7c

herrera na everlenk naona GIGGS yuleeee

Giggs Sawa ila bado bado anatakiwa akomae zaidi kwa sasa apate manager Mkuu ambaye watasaidiana.
 
Last edited by a moderator:
Giggs anaijua falsafa ya United kuliko huyo Morinho.
Wakati FC Barcelona wanasitisha contract na Rijkaardt walifanya mazungumzo na Jose na makubaliano yalifikiwa waliona kuwa Jose aliwahi kuwa kocha msaidizi wa LVG kwa misimu minne hivyo anaijua Barca. Tofauti ikawa tabia binafsi za Jose ambazo Jose mwenyewe alikiri ingekuwa vigumu kujidhibiti. Wakaachana naye na kumchukua Josep Guardiola aliyekuwa kocha wa Barca B iliyokuwa ikishiriki ligi daraja la tatu. Sababu ni kuwa alikuwa anaifahamu vizuri falsafa ya timu kwa vile amekuwa nayo. Hii ni sawa na Luis Enrique. Giggs anaweza kufanya vizuri na Man U kwa vile amekuwa na timu tangy akiwa na 14 yes. Anaijua falsafa ya timu kuliko hata kukimbilia hizo "SEXY NAMES" ambao wanataka tu kujazia CV zao. Sory kwa kuingilia page yenu.
 
News za leo zinasema hayupo interested Ngoja tuone movie hili....

Shida yake mou si matokeo bali ana bad personality

huwezi kuwa kocha wa Top club ukaenda kuwasema mbovu wachezaji kwenye public kupitia media, kugombana na Waamuzi na kingine Kuropoka ropoka (inaua image ya club) maana club ni brand ya biashara

kifupi naona mabosi wa manure wanata Ku pull trigger wanasita sababu ni Personality yake iliyojaa controversy haiendani na Ukubwa wa Club yenu

Sana sana wanaomleta mou ni Fans na media kuzua Rumours....kabla ya owners

Tusubiri baada ya matokeo ya december kuisha
 
mkuu Ntuzu hapo kwenye blue umepaona. nimekwambia same thing leo, ..........wakija kule wanajidai sijui morinho hakufanyiwa vizuri kumbe hata huku nako mpaki magufuli(makontena) hatakiwi
 
Last edited by a moderator:
Poleni wakuu sijui chacha Moureen ndio atakuwa manager wenu au vipi maana Van Gaffe kimunuka amekimbia press conference ya leo na maneno kibao ..... ..... ...... ...
 
Hahaha.. wamemkomoa kichizi.. #LVGOUT
 
Attachments

  • 1450944460645.jpg
    1450944460645.jpg
    138 KB · Views: 280
Hahaha.. wamemkomoa kichizi.. #LVGOUT

actual sio fair wanachomfanyia na kuna misimu fergie alikuwa na matokeo mabaya kuliko haya.

1.yeye ndio alioirudisha timu uefa ni bora makundi kuliko kutokuwepo kabisa

2. yeye ndio aliostop decline, liver alivyoenda nafasi ya 7 imemchukua miaka mingap kukaa sawa? ila lvg msimu mmoja tu kairudisha top 4 tena na wachezaji tofauti na wa fergie.

3. kama walivyoandika juzi tu kama mwezi uliopita tulikuwa wa 1 hivyo mwenzi mbaya wa matokeo haufanyi mtu kuwa useless. hadi leo nakumbuka msimu pogba anaondoka tulikula vichapo mfululizo kwenye birthday ya fergie tena vya 3-0 na 3-2 toka timu kama newcastle na blackburn.

baada ya wiki kadhaa tunaweza pia kurudi top of the league.

4. wana wajibu wa kumuomba msamaha na lvg ana haki ya kuwashitaki na hata man u kama club tunaweza vishitaki hivyo vyombo vya habari kwa kuandika ambazo si za kweli kuwa jamaa amefukuzwa
 
Hivi kuna watu bado mnatetea huu uozo? huyu ni mzigo,he has failed............LVG IS USELESS #LVGOUT
 
Wanaomtetea sio man utd fans, ni wenzetu wa upande wa pili ambao daima wanataka jahazi liendelee kuzama, kwa ufupi tu nikwamba "HATUMTAKI"
 
van gal aondoke tu coz kila tim aliyoichukia na baadae kuiacha ni lazima aache imepalanganyika....huyu mzee hatufai tunahitaji matokeo hiyo phylosophy apeleke huko nyumban kwake
 
Back
Top Bottom