Zanzibar sio nchi hivyo hawawezi kuchagua waziri kutoka bara, wa zanzibar wamechaguliwa kwa sababu ya muungano ambao umeunda nchi moja inaitwa Tanzania.
Ni kweli kabisa JK abanwe aeleze udini anaousema uko wapi? ili watu wapime ni kweli au si kweli vinginevyo anapandikiza chuki kati ya waislamu na wakristo. Tanzania hatujawahi kuwa na tabia ya kuchagua viongozi kwa kufuata dini zao. Yeye aseme kuwa ameshindwa kuwa na jambo jipya hivyo kaamua...
Waislamu kwa nini wasianzishe benki wao wenyewe mpaka watumie benki za uraiani ?Na hii tabia ya kuiga mambo eti kwa kuwa wamefanya wazungu ni ujinga mtupu.kwa taarifa yenu wazungu walipogundua kuwa kuna itikadi kali kwa waislamu wengine ambao wako tayari kuua kwa sababu tu mtu katofautiana na...
Wewe kwa nini unasema kuwa ni ulipizaji visasi na kwa nini judicial system ya Iraq unaiita washia? kilichofanyika ni kutimiza sheria suala la ushia halipo,kama majaji wengi ni washia au wanyongaji si juu yako siwamesoma!!! Wacha sheria ichukue mkondo wake. Mbona Rwanda wamefungwa hatukuita...
Rudi nyumbani uwasaidie watanzania wenzako,uraia wa nchi mbili kwangu ni upuuzi mtupu,tutaiga wazungu kila kitu? wao wanafanya hivyo ili wapate nafasi ya kuhujumu.
Madhara ya kutosoma na kutambua wajibu wao kama raia wa nchi. Sheria inasema ardhi ni mali ya serikali na rais ni mdhamini mkuu,hivyo matumizi yake yanaweza kubadilishwa wakati wowote,after all wanaogaiwa ardhi hiyo ni watanzania wenzao kama huo si upumbavu ni nini? wanawaza ng'ombe tu badala ya...
Wewe umeelewa isipokuwa unataka kurefusha tu mazungumzo. kwa kifupi mwanamume kuvaa heleni sikioni au kikuku mimi kwangu wote ni wachumba tu.(hii nayo ya wachumba utailetea ubishi?). Mambo ya kuiga iga utamaduni mchafu wa baadhi ya watu wa magharibi eti kwa kisingizio cha duni kuwa kijiji kimoja...
Mimi nafikiri kikwete ana haki ya kusema hivyo,pamoja na kutotoa takwimu lakini watanzania wengi wanataka adhabu ya kifo iendelee,na mimi pia ni mmojawao. kila kitu data data!!!! mambo mengine ni yanajidhihirisha yenyewe.
Inamaana wewe kwa akili yako chama ni ccm tu?hivi watanzania tutaelimika lini juu ya kuchagua kiongozi na si chama? hivi kweli turudi nyuma kule kwenye vitisho vya "upinzania utaleta vita" na wajinga wengi wakatishika ukiwemo na wewe?Badilika unatia haibu.Tunaendelea vizuri sasa kwani angalau...
Hivi mbunge kweli anakamatwa kwa kufanya mkutano bila kibali,tunakwenda wapi?Mimi nachofahamu mkutano hauna kibali kwani kinachofanyika ni kutoa taarifa polisi ndani ya saa 48 kwa mujibu wa Police force ordinance as amended from time to time.Sasa kibali kilichotakiwa ni kipi?cha kuruhusiwa...
Wewe unataka kukwepa ulichokisema mbona hujafafanua ya kurudi kwenye chama kimoja?Hacha ujanja wa kizamani. Kurudi kwenye chama kimoja kwa sababu ya vurugu ni upuuzi mtupu kwani kwa dunia ya sasa hata cha kimoja chenye vurugu tupu,usijidanganye!!!!!
.
Kiongozi hasiyemcha mungu hatumuhitaji,dini kama za kina kingunge sisi hatuzihitaji.Suala la kumcha mungu si la wakiristu pekee na waislamu pia wanamcha mungu kwa hiyo kama wewe tafsiri yako ya kumcha mungu ni kwa wakristu pekee unasikitisha. Ingawa mtu alazimishwi kuwa na dini fulani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.