Islamic Banking ‘invades’ Tanzania

Status
Not open for further replies.
If we dont stand for nothing we will fall for anything, hawa aim yao ni ku-corrupt the simple minded in our society. Lazima tujielewe we are Tanzanians first.

Na hizi type of investment im not against them hila haziko ready kwenye nchi ambayo bado a majority are so simple minded, a majority can not reason the importance of religion to them. Wengi bado ni wapokeaji tu kama wanavyoipokea CCM. We are gonna be messed for a long period of time if we dont put the effort to make sure enough of us have reasonable minds.

Ni wengi watanichukia hila ukweli ni kwamba Tanzania is still a primitive society na nijikumu letu wana Jf ku upinga huu ujinga wa dini na Ukabila hiwe jukumu letu kuwafanya watu kwanza wajione wabonge pili they can make decisions based on their own reasoning as they understand things or else we gonna be fu@ked for a long period of time.

Mawazo ya wengi ndio uleta mabadiliko na watu inabidi wajitambue kwa a shared identity kama watanzania kwanza kabla ya dini au ushenzi kama kabila. Well what do i Know?

Aim ni kutujengea matabaka ambayo sisi wenyewe tunaanza kuya-promote its easy to divide and rule for them and make a scrumble of our resources please lets be Tanzanians first and forget about our tribes and religions lets be patriots to our land as a agroup. Thats the only way we can defeat outsiders. As right know we're pretty much subjects of manipulations, again what do i know?.

Tabaka gani limejengwa?
 
Much ado about nothing. Hawatatozwa riba wanapokopeshwa na hawatapata riba wanapoweka! Stanbic, NBC hazina dini, wao wanachoangalia ni bottom line. Wakiona haina tija wataitema. Wakiona ina tija wataiendeleza. Si kila kitu kinachofuata tamaduni na maelekezo ya dini ya kiislamu ni haramu kwa wamisheni. Mbona wachinja kuku wote soko mjinga ni waislamu? Mbona hatujasusa kula hao kuku? Na wengi wetu tukitaka kuchinja kitu tunamkaribisha jirani yetu muislamu atuchinjie! Ndivyo tunavyoishi. Hivyo hivyo sioni tatizo kama benki ninamowekeza pesa zangu ikitoa nafasi kwa wale wanaotaka transaction zao ziendane na Sharia! Wao wataikacha interest mimi nitaikimbilia. Tutabanana humo humo.

Amandla....

Hizi banks zinazoitwa za "kiislamu" zipo katika baadhi ya Western Countries kama US, Canada na UK na juhudi za kuzianzisha katika nchi nyingine za Europe zinaendelea, lakini kuingia Tanzania tu basi imekuwa nongwa!!! udini udini watu wanapiga kelele huku na kule bila hata kujua kwa kina utendaji wa hizi bank zinazofuata sheria za kiislamu pamoja na watu kuambiwa mikopo hiyo itakuwa wazi kwa Waislamu na wasio Waislamu lakini bado watu wanabwata tu udini udini!!! Ahsante sana Rev Kishoka, Fundi Mchundo na wengineo kwa upevu mkubwa mliouonyesha katika kufafanua zaidi kuhusu bank hii.
 
Tabaka gani limejengwa?
Sijakuelewa wala sinamuda wa kutaka kukuelewa hila tabaka ninaloli-promote mimi ni a shared identity kwa taifa kabla ya upuuzi uliokuwa kwenye kichwa chako. Si ukabila wala dini na if im honest sijakuwa hata na muda wa kusoma the whole thread hapa ni seheumu moja ambayo namuunga mkono genius Nyerere we do not need this shyt. Either ur with us a majority of Tanzanians or ur without and believe me bring nonsense i will defend my stand till i die.
 
If we dont stand for nothing we will fall for anything, hawa aim yao ni ku-corrupt the simple minded in our society. Lazima tujielewe we are Tanzanians first.

Na hizi type of investment im not against them hila haziko ready kwenye nchi ambayo bado a majority are so simple minded, a majority can not reason the importance of religion to them. Wengi bado ni wapokeaji tu kama wanavyoipokea CCM. We are gonna be messed for a long period of time if we dont put the effort to make sure enough of us have reasonable minds.

Ni wengi watanichukia hila ukweli ni kwamba Tanzania is still a primitive society na nijikumu letu wana Jf ku upinga huu ujinga wa dini na Ukabila hiwe jukumu letu kuwafanya watu kwanza wajione wabonge pili they can make decisions based on their own reasoning as they understand things or else we gonna be fu@ked for a long period of time.

Mawazo ya wengi ndio uleta mabadiliko na watu inabidi wajitambue kwa a shared identity kama watanzania kwanza kabla ya dini au ushenzi kama kabila. Well what do i Know?

Aim ni kutujengea matabaka ambayo sisi wenyewe tunaanza kuya-promote its easy to divide and rule for them and make a scrumble of our resources please lets be Tanzanians first and forget about our tribes and religions lets be patriots to our land as a agroup. Thats the only way we can defeat outsiders. As right know we're pretty much subjects of manipulations, again what do i know?.

Brother Juma,

Nafikiria una overanalyse ishu. Kwa maelezo yaliyotolewa so far, huduma ya Islamic banking ni kaa service nyingine tu. Mathalan account za kusomesha watoto, account za forex etc etc. Labda mkulu utuambie kipya ambacho hatukijui ili tuweze ku-analyse ishu bila assumpions au arguments of psychic nature.
 
Well like i said i have not read the whole thread nor the main post itself fully, but what im against is the idea of creating lines of thinking that aims to create a group of people associating themselves with a certain business as a means of their development that aint right today in Tanzania. May be tommorow but not today reasons being its a sensitive time in our democracy for this shyt.
 
Nimekuelewa. Timing inaweza ikawa sio nzuri kaa ulivosema..kwamba kuna watu kwa kutojua au kwa kusudi kabisa watalipeleka hili suala kwenye angle tofauti kabisa na hali halisi. Dalili zipo kwenye hii thread, lakini intrinsically sijaona ubaya wa hii huduma, with the assumption kwamba ipo huru kwa yeyote sioni ubaya unatoka wapi.
 
Hizi banks zinazoitwa za "kiislamu" zipo katika baadhi ya Western Countries kama US, Canada na UK na juhudi za kuzianzisha katika nchi nyingine za Europe zinaendelea, lakini kuingia Tanzania tu basi imekuwa nongwa!!! udini udini watu wanapiga kelele huku na kule bila hata kujua kwa kina utendaji wa hizi bank zinazofuata sheria za kiislamu pamoja na watu kuambiwa mikopo hiyo itakuwa wazi kwa Waislamu na wasio Waislamu lakini bado watu wanabwata tu udini udini!!! Ahsante sana Rev Kishoka, Fundi Mchundo na wengineo kwa upevu mkubwa mliouonyesha katika kufafanua zaidi kuhusu bank hii.

Je wewe ulibwata kabla ya introduction ya hii aina ya banking? Toka mwanzo nimesema kwanza tuangalie katiba ya nchi yetu na sheria ya mabenki na taasisi za kifedha ya mwaka 2006. Sio kuiga tu na kusema oo. UK ipo, ooo USA ipo, ooo Canada ipo bila hata kujua sheria za huko USA, UK na Canada. Mimi nafikiri kwanza tu-define hizi concepts: sharia is the holy law of Islam, which cover all parts of a Muslim's life. Ukienda NBC utakuta bango kubwa lina sahihi mbili ya kuingia ubia na Islamic banking ambayo inaongozwa na sharia law (Islamic law). Sasa je kwa mtanzania ambaye sio muislamu, huu sio udini katika biashara au utoaji huduma za jamii?

Ubaguzi unakuja pale mrkisto asiyeamini kabisa uislamu na anafahamu kuwa na akaunti hiyo ni ku-practise uislamu hawezi kuwa na akaunti hiyo ingawaje benki zinasema hoo watu wote wako huru kujiunga. Naomba waislamu wote mwuombe uraia huko kwenye islamic countries ili mkatukuze mungu wenu vizuri kwani kwa kuishi Tanzania haiwezekani maisha yako yote na mambo yako yote ya kila siku yawe uislamu tu. Niwajuwavyo ninyi dini nyingine wakifungua akaunti hiyo mtaanzisha mihadhara na kuwacheka hayooo yamesilimu.

Naomba ukiongelea upeo wa baadhi ya wana - JF, tazama na wako pia. Mimi naona wako huko chini kidogo kwani hakuna 'internal linkage' katika 'arguments' zako. Kwa maana hazioani, hazina 'back up' kwa maana hauna rejea hata moja ya unayoongea! JF is for great thinkers and thinking is reasoning and reasoning is logic - back up, evidence, reference, research, experience, experiment are a must for any argument! If you are not a great thinker, please unsubscribe and go back to CCM or Mosque business!!
 
Kaka,

Its half four in my times ill give you a tip though read about interpretition of meanings and associations utaelewa its eay to corrupt people through believes na how you can emphasize ideologies through this concepts.

White man (and other outsiders) plays us all the time kwa kutuelewa right now im off to sleep any quaries or criticism of the theory tommorow. Im off to sleep Alamsiki.
 
Brother Juma,

Nafikiria una overanalyse ishu. Kwa maelezo yaliyotolewa so far, huduma ya Islamic banking ni kaa service nyingine tu. Mathalan account za kusomesha watoto, account za forex etc etc. Labda mkulu utuambie kipya ambacho hatukijui ili tuweze ku-analyse ishu bila assumpions au arguments of psychic nature.

Hivi akaunti ya forex, kusomesha watoto au watoto inaongozwa na misingi au sheria za kidini au imani ya watu fulani? Hii ya islamic banking inaongozwa na misingi au sheria ya dini ya baadhi ya watanzania, sasa je yule mwenye imani tofauti atafunguaje hii? Hawezi kwani imani yake haimruhusu hata wewe ukisema njoo kama ana imani thabiti hawezi!! Katiba yetu haikubliani na hili, BoT licensing condition number 16 does not allow this.

Hizi ni njia za CCM kupata pesa za uchaguzi toka arabuni, Mustafa itabidi atueleze vizuri. Hawa kina Bernard membe ni majina tu ila wana imani za dini zaidi ya moja kwa sababu ya ulafi wa mali. Safari hii lazima nipige kura, baadaye kugombea, ikishindikana ni kufuata 'style' ya Museveni.
 
Nimekuelewa. Timing inaweza ikawa sio nzuri kaa ulivosema..kwamba kuna watu kwa kutojua au kwa kusudi kabisa watalipeleka hili suala kwenye angle tofauti kabisa na hali halisi. Dalili zipo kwenye hii thread, lakini intrinsically sijaona ubaya wa hii huduma, with the assumption kwamba ipo huru kwa yeyote sioni ubaya unatoka wapi.[/QUOTE]

Ubaya unakuja pale inapo fungamana na imani ya dini moja - Uislamu na kuvunja katiba ya nchi na kanuni mojawapo ya BoT katika kutoa leseni ya kuendesha benki. Na ilipoanzisha kama invyooshesha hapo juu (original thread) Shekh Simba bin chui alialikwa, kwa nini hawakualika viongozi wa dini na madhehebu mengine?
 
If we dont stand for nothing we will fall for anything, hawa aim yao ni ku-corrupt the simple minded in our society. Lazima tujielewe we are Tanzanians first.

Na hizi type of investment im not against them hila haziko ready kwenye nchi ambayo bado a majority are so simple minded, a majority can not reason the importance of religion to them. Wengi bado ni wapokeaji tu kama wanavyoipokea CCM. We are gonna be messed for a long period of time if we dont put the effort to make sure enough of us have reasonable minds.

Ni wengi watanichukia hila ukweli ni kwamba Tanzania is still a primitive society na nijikumu letu wana Jf ku upinga huu ujinga wa dini na Ukabila hiwe jukumu letu kuwafanya watu kwanza wajione wabonge pili they can make decisions based on their own reasoning as they understand things or else we gonna be fu@ked for a long period of time.

Mawazo ya wengi ndio uleta mabadiliko na watu inabidi wajitambue kwa a shared identity kama watanzania kwanza kabla ya dini au ushenzi kama kabila. Well what do i Know?

Aim ni kutujengea matabaka ambayo sisi wenyewe tunaanza kuya-promote its easy to divide and rule for them and make a scrumble of our resources please lets be Tanzanians first and forget about our tribes and religions lets be patriots to our land as a agroup. Thats the only way we can defeat outsiders. As right know we're pretty much subjects of manipulations, again what do i know?.

Sasa hawa 'so simple minded' ni akina nani? Je ni hawa wanaopinga islamic banking au wanaoikumbatia na kuianzisha? Naomba pia unipaite maana ya 'so simple minded' na 'reasoning' in this context. Ukishindwa au ukitoa ya ovyo ovyo naomba ukalale
 
Sasa naanza kupata mwanga kwa mbaaaaali kwanini nchi haisongi mbele.. inabidi vipite kaa vizazi 5 ndio tutakuwa na watu wenye kuchallenge vitu based on reason..Sasa hivi nimegundua kuna matatizo zaidi ya vile nilivofikiria..So sad, ngoja nikamuone Bishop Cognac aniombee niepukane kupigizana kelele na kizazi hiki cha wanafiki.

Ili tujue sisi tuna-argue bila reasoning, naomba utwekeke hapa mtiririko wa reasoning yako ili tuilinganishe na zetu na kuipima kama ina viwango - tools zipo tazitoa wakati naipima yako. Hivi baada ya miaka 5 reasoning ndio itakuwa juu, ehe kwa kuongeza shule za kata, madawati, waalimu wa 'voda fasta', bila vitabu na vifaa vingine vya kufundishia? Tupe evidence ya hii projection yako.
 
Hivi akaunti ya forex, kusomesha watoto au watoto inaongozwa na misingi au sheria za kidini au imani ya watu fulani? Hii ya islamic banking inaongozwa na misingi au sheria ya dini ya baadhi ya watanzania, sasa je yule mwenye imani tofauti atafunguaje hii? Hawezi kwani imani yake haimruhusu hata wewe ukisema njoo kama ana imani thabiti hawezi!! Katiba yetu haikubliani na hili, BoT licensing condition number 16 does not allow this.

Hizi ni njia za CCM kupata pesa za uchaguzi toka arabuni, Mustafa itabidi atueleze vizuri. Hawa kina Bernard membe ni majina tu ila wana imani za dini zaidi ya moja kwa sababu ya ulafi wa mali. Safari hii lazima nipige kura, baadaye kugombea, ikishindikana ni kufuata 'style' ya Museveni.

Take trouble kusoma hizo article alizoleta Invisible kwanza kabla ya kukurupuka. Islamic banking esp. ile NBC imeelezewa hapo kuwa ni kaa conventional account except itakuwa inafuata misingi ya kiiislamu. Na mostly importantly, kila mja anaruhusiwa kuitumia hii huduma..Sasa sielewi makele yanaletwa na hili pekee au kuna jingine ambalo mnalijua peke yenu lakini hamtaki kutushirikisha.
 
Ili tujue sisi tuna-argue bila reasoning, naomba utwekeke hapa mtiririko wa reasoning yako ili tuilinganishe na zetu na kuipima kama ina viwango - tools zipo tazitoa wakati naipima yako. Hivi baada ya miaka 5 reasoning ndio itakuwa juu, ehe kwa kuongeza shule za kata, madawati, waalimu wa 'voda fasta', bila vitabu na vifaa vingine vya kufundishia? Tupe evidence ya hii projection yako.

Kaa nilivotoka kusema kitambo kidogo hapa, siwajibiki kurudia post au kufafanua chochote, especially kaa hakuna sababu ya maana.
 
mwanamayu.. hizo Christian Banking ndiyo christian banking zenyewe kwani zimefuata msingi mkubwa wa theolojia ya kikristu na falsafa za watu wa Magharibi. Haziitaji kuiitwa "Christian" ili ziwe Christian.. Labda tatizo ni kwa vile zinaitwa "Islamic" ndiyo tatizo? lakini zingeitwa "Arab" au "MidEastern Banking" labda watu wasingeshtuka sana.

Tafadhari, naomba utuweke kwa kifupi 'theology' na 'western philosophy' vinavyooana na pia vipengele vinavyoongelea banking. Pia kwenye Code of Canon law - Roman Catholic utuonyeshe wapi kuna kipengele cha banking. Basi kama ni hivyo kila dini ifungue benki zake ambazo zitaendeshwa kwa misingi ya imani zao. Yaani ile enzi ya "ruksa" iko hapo kwenye kona.

Sasa maana ya sharia hii hapa "
What is Sharia?

Also meaning "path" in Arabic, sharia guides all aspects of Muslim life including daily routines, familial and religious obligations, and financial dealings. It is derived primarily from the Quran and the Sunna--the sayings, practices, and teachings of the Prophet Mohammed. Precedents and analogy applied by Muslim scholars are used to address new issues. The consensus of the Muslim community also plays a role in defining this theological manual.
" http://www.cfr.org/publication/8034/ visited this morning.

Hivi bado wewe unashabikia tu?
 
Sioni sababu ua kulumbana. Stanbic sio bank ya serikali ni private na kufungua hicho kitu ni haki yao. Sasa wewe kama unaona hukubaliani usiende kuweka pesa zako pale. Au la na sisi wakristo tukaongee na standard charted au bank nyingine. maisha yaende mbele.
 
msanii tatizo lako hasa nini na hii sharia banking? (manake nimeona gademu nyingi sana). hutaki kuwe na huduma zinazotolewa kwa misingi ya dini fulani au hutaki kabisa kuona neno sharia?

as long hakuna atakaekataliwa kupewa huduma awe muislam, mpagani wala mkiristo sioni tatizo since pia kuna hospitali za kidini, mashule, vyuo vikuu n.k ambavyo vinatoa huduma kwa wote.

kwa ushauri wangu usiumize kichwa chako bure..........watanzania wangapi hawataki riba? (hata hao waislam wa kawaida sidhani kama wanajali hii kitu).......

nafikiri huduma hii pia inaweza kuwasaidia hata wale wasiokuwa waislam ambao wasingetaka pesa yao iwe invested kwenye pombe, kamari na mambo ya porno......

all in all i think its all gud, maana pesa za wanaotaka islamic banking hazitakuwa na haja ya kuwekezwa nje ya nchi

Waislamu kwa nini wasianzishe benki wao wenyewe mpaka watumie benki za uraiani ?Na hii tabia ya kuiga mambo eti kwa kuwa wamefanya wazungu ni ujinga mtupu.kwa taarifa yenu wazungu walipogundua kuwa kuna itikadi kali kwa waislamu wengine ambao wako tayari kuua kwa sababu tu mtu katofautiana na imane yake wakaamua kuruhusu sharia law kutumika kwenye nchi zao,yaani muislamu anafanywa kama kituko hivi kuwa ukimkosea au ukitofautiana naye anaweza kukudhuru, mfano zamani tanzania nyama ya kitimoto ilikuwa ikiuzwa nje ya miji ili waislamu wasikasirike mfano vurugu zilizotokea kilosa na kusababisha mkoloni kutunga sheria maalumu juu ya uuzaji nyama ya nguruwe. kwa kweli ndugu zangu waislamu wanapenda sana kupata special treatment na hii ndio weakness kubwa upande wao hawaweze kukabili changamoto za kiimani zinazotokana na waumini wa madhehebu mengine matokeo yake wanajenga uextrimism,sisemi wote lakini wengi wao. kwa hiyo basi mimi naona hata hizo benki zinafanya hivyo sababu ya kupata fedha ziweze kuzunguka katika shughuli zao za kibenki. Dini inapokuwa inaingiza mambo ya kidini katika shughuli za kiraia au za kiserikali ni hatari sana kwani mfano mdogo ni mahakama ya kiislamu ambayo hapa tanzania imekuwa ikipiganiwa na waislamu. mambno yenu kwa nini msifanye kwenye misikiti yenu kama wakristo wanavyofanya yao? amuoni huo kuwa ni udhaifu? kuna waislamu wengine mpaka leo hawali kuku aliyechinjwa na mkristo na zamani kwa mujibu wa simulizi hata maji ya kunywa walikuwa hawanywi endapo atahisi mkristo huyo ni mla nguruwe. huu ni udhaifu kabisa . Lakini yote tisa kumi sisi watanzania hatuwezi kuwa na utaratibu tofauti na mataifa mengine wa kutenga pembeni mambo ya dini kufanywa na wenye dini wenyewe? sisi serikali yetu haina dini iweje benki ya NBC ikubali mambo ya udini kwa nini waislamu wasichangishane wakajenga benki yao yenye kufuata misingi ya kiimani au ata kama watapanga jengo?Wasiwasi wangu mimi litajitokeza jambo lingine watadai kuwa ni haki yao kama vile kwenye suala la mahakama ya kadhi. Please ndugu zetu fanyeni mambo yenu wenyewe jengeni benki zenu wenyewe kuna matajiri sana saudia na nchi nyingine za kiarabu kama nyie ni wamoja kwa nini hao wasitoe fedha moja kwa moja kwenu kama wanavyosaidia ujenzi wa misikiti nayi mjenge mabenki?
 
Hizi banks zinazoitwa za "kiislamu" zipo katika baadhi ya Western Countries kama US, Canada na UK na juhudi za kuzianzisha katika nchi nyingine za Europe zinaendelea, lakini kuingia Tanzania tu basi imekuwa nongwa!!! udini udini watu wanapiga kelele huku na kule bila hata kujua kwa kina utendaji wa hizi bank zinazofuata sheria za kiislamu pamoja na watu kuambiwa mikopo hiyo itakuwa wazi kwa Waislamu na wasio Waislamu lakini bado watu wanabwata tu udini udini!!! Ahsante sana Rev Kishoka, Fundi Mchundo na wengineo kwa upevu mkubwa mliouonyesha katika kufafanua zaidi kuhusu bank hii.

hali ya kidini tz ni tense kuliko hizo nchi unazozitaja za US, canada na UK. unaelewa hilo? hapa tz kuna hali mbaya sana ya udini ambao huwa hatutaki kuikubali kama ipo, ndo maana tunatakiwa kuishi kwa kuheshimiana tukipunguza mambo yatakayofanya watu wa dini ingine waone kama wanaonewa. dini zote hapa ni sawa, hakuna dini kubwa wala ndogo, na tz si nchi ya dini, so kama unaleta mambo yako ya sharia kwenye mambo ya uma/selikali ambayo haina dini, ni uvunjaji wa katiba kabisa kwanza, tz si nchi ya waislam tu, na tz haitakiwi kufuata matakwa ya dini ya kiislam kwasababu ni secular state, inatakiwa kuachana na dini, iziache dini zijitegemee zenyewe......hapa hakika selikali inalo la kujibu. you wait and you will see.s
 
Waacheni Waislam na sharia banking yao, kama hutaki basi funga akaunti yako huko NBC au Stanbic Bank. Mbona tuna shule, vyuo hado vyuo vikuu vya kidini, hospitali za dini na kadhalika na hatujalalamika. Tena taasisi hizi hazibagui mtu wa imani yoyote kupata huduma yao. Mbona kuna Efatha na Mkombozi banks na sijasikia Waislamu wakilalamika. Mbona Chuo Kikuu cha Kiislamu kule Morogoro kilitokana na majengo ya TANESCO ambalo ni shirika la umma na majengo hayo walipewa na Rais mstaafu, Ben Mkapa na hakuna aliyelalamika ???????? Kama unaona hutaki Islamic Banking, basi, usitafute huduma yao. Tusigeuze JF kuwa mahali pa porojo za kupotosha ukweli wa mambo kama ninavyoona tunataka kuelekea huko. Wana JF tuwe makini na upotoshaji wa mambo lakini tujikite kutoa hoja zenye ukweli.
 
Actually nilikuwa namsikiliza social theorist mmoja akasema kwamba dini ni kikwazo kwa maendeleo ya binadamu, and i was skeptical at that time, kwa sasa naanza kuona hoja yake ilipo. The Chinese realized this earlier and acted upon it before it went out of hand, na mambo yao yanazidi kuwa super tu, maana wameshaepa potential kiunzi ambacho kingeweza kuwa catastrophic..ukisharuhusu upuuzi wa dini kutoka personal to national scale, ni sawa na dampo..yale madudu yataanza kuoza na kutengeneza methane gas, na hatimaye explosion becomes a reality.

Ukweli ni kwamba waTz wengi ni waongo, waoga na wanafiki..yes..we have munafeeqs everywhere..Watu wanajifanya wako sensitive na pioneers kichizi wa hizi 'dini' wakti ukienda kitaa simulizi za maisha is quiet the opposite..Watu wanaiba makazini, wafanyabiashara wanawaibia wateja, wanafunzi na walimu wanaiba mitihani, watu wanazini na kufanya uasharati na machukizo mengine ya kila aina, wasilamu wanalewa na kula kitimoto, wakristu wanaviamada kila kona, na mengineyo meeeeeeengi..Lakini the same people wanakuja humu na kuweka very high standards na requirements kuhusu NBC na Islamic banking. Kabla ya hizi huduma, wasilamu walikuwa wakieka pesa zao wapi? God knows. Walikuwa wakila riba au la? Jibu wanalo.

On the other hand,non-muslims waliposikia tu neno Islamic bank, in NBC, basi imekuwa nongwa, kana kwamba NBC itachukua pesa za kodi ya serikali au pesa kwenye akaunti zao na kuwapa wasilamu ktk mfumo wa mamilioni ya JK..pengine..they are too emotional bila kuaddress kosa la Islamic banking.

Halafu tusivyo na aibu. Waislamu wanapolalamikia siku ya mapumziko kuwa siku ambayo wamisheni wengi wanaenda kanisani tunawaona machizi. Leo kwa vile kuna benki ambayo imeona itoe huduma ambayo itapanua wigo la wateja wake tunapiga kelele! Mbona benki hizo hizo zina mipango kwa ajili ya watoto n.k.? Misimamo kama hii ndiyo inayowafanya waislamu wengine kutuona sisi wamisheni ajenda yetu ni kuwazibia tu na kuwakalia kooni. Si kila kitu lazima kitulenge wote.

Amandla........
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom