Hatimaye "Chemical Ali" anyongwa iraq | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimaye "Chemical Ali" anyongwa iraq

Discussion in 'International Forum' started by Hofstede, Jan 25, 2010.

 1. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Baada ya kuhukumiwa kifo mara nne kwa kile kinachosemekana ni uhalifu dhidi ya binadamu hatimaye Shia wa Iraq walipiza kisasi rasmi kwa kumuua kwa kumyonga kwa kutumia kitanzi kumning'iniza. Hii inaashiria kuwa Iraq kupata maridhiano itachukua muda kwani inajukana kuwa ni nchi ya visasi.

   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Wooow, wote wanamalizwa kwa kitanzi tu.
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  ndivyo waarabu walivyo wao ni kulipiza kisasi tu katika Nchi za kiarabu hakuna kitu kinachoitwa (Democratic)Sahau Mkuu Maxshimba Waarabu ni washenzi tu hawana haki za Kibinadamu.
   
 4. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #4
  Jan 25, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Inawezekana kwao hiyo ndio haki, mkuu. Kwasababu huyu bwana alifanya maasi mabaya sana kwa wakuds. Ingawa kama ulivyo sema, demokrasia kwao ni sawa na mimi mdengereko kusema Kigiriki.

  Wangemsweka tu maisha, labda angekuwa msaada wa baadae, you never know.
   
 5. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #5
  Jan 25, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Wanaogopa asije toroka akaunda kikosi cha kisasi. Kinachowafanya wawauwe ni woga wa kubadilishiwa kibano
   
 6. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #6
  Jan 25, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  There is a famous saying that fits very well with some of these people....."Those who live by the sword will die by the sword.
   
 7. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #7
  Jan 25, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Nimekuelewa mkuu. Paranoia ndio kubwa kule, ni kama mtu unapoona nyoka, ni either umpige kichwa au akuwahi yeye.
   
 8. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #8
  Jan 25, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  You are correct Sir. Iron sharpens iron
   
 9. M

  Mwanaluguma Member

  #9
  Jan 25, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe kwa nini unasema kuwa ni ulipizaji visasi na kwa nini judicial system ya Iraq unaiita washia? kilichofanyika ni kutimiza sheria suala la ushia halipo,kama majaji wengi ni washia au wanyongaji si juu yako siwamesoma!!! Wacha sheria ichukue mkondo wake. Mbona Rwanda wamefungwa hatukuita ulipizaji kisasai? hacha udini fuata haki. wewe huoni picha ya waliouliwa kwa sumu unataka wanyamaze tu?
   
 10. M

  M-Joka JF-Expert Member

  #10
  Jan 30, 2010
  Joined: Dec 13, 2007
  Messages: 308
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Definitely MAFISADI walistahili kama hivi TZ na kutaifishwa mali zao zote.
   
 11. Fugwe

  Fugwe JF-Expert Member

  #11
  Jan 30, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,680
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Jino kwa jino tu
   
Loading...