Mwanaume kuvaa "kikuku" inaashriria nini?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,969
22,163
Wana ndugu majuzi nilikuwa airport kumpoke aabiria wangu gafla nikaona vijana wawili wote wamevaa hereni si mbaya...ila kuna mwingine huyu alikuwa amevaa kikuku kwa wale wanaojua ni hereni za mguuni...anyway kwa upande wa kwetu kimaadili ningeweza kusema mtu wa pemba lakini sasa kijana amekuja anapita kalewa kihereni mguuni nikasema niombe msaada hata siku nyingine nisije uliza kumbe utajiri wa mtu uko miguuni mwake ama ndio fasheni watanzania.
 
pretty mshipa ulinishuka shost nikasema kulikoni jamani???
 
Wana ndugu majuzi nilikuwa airport kumpoke aabiria wangu gafla nikaona vijana wawili wote wamevaa hereni si mbaya...ila kuna mwingine huyu alikuwa amevaa kikuku kwa wale wanaojua ni hereni za mguuni...anyway kwa upande wa kwetu kimaadili ningeweza kusema mtu wa pemba lakini sasa kijana amekuja anapita kalewa kihereni mguuni nikasema niombe msaada hata siku nyingine nisije uliza kumbe utajiri wa mtu.........uko miguuni mwake...ama ndio fasheni watanzania...

Sweetbaby, Give me a brake!... nnaona sasa itabidi tukuite sweatbaby maana unachemsha kinoma.. hivi kuna hereni za mguuni? zinavaliwaje hizo? kikuku mi kwa upewa wangu mdogo najua ni shanga inayovaliwa kwenye mguu.. sanasana mguu wa kushoto.. Ulikuwa unamaanisha hivi au ni tofauti? Au huyo kijana alikuwa ametoboa vidole vya mguuni ili kuvisha hizo hereni?
 
Mjibu kwanza swali lake kuvaa shanga au hereni miguni kwa mwanaume maana yake nini.
 
Mimi naamini huyo ni mtumwa wa fikra tu unawezakuta sio shoga wala bwabwa lakini akawa ameona hata kwenye runinga kijana kavaa basi nae akavaa. Si unajua vijana wetu wengi wanavyopenda kuiga hata vile wasivyoelewa maana?
 
Sweetbaby, Give me a brake!... nnaona sasa itabidi tukuite sweatbaby maana unachemsha kinoma.. hivi kuna hereni za mguuni? zinavaliwaje hizo? kikuku mi kwa upewa wangu mdogo najua ni shanga inayovaliwa kwenye mguu.. sanasana mguu wa kushoto.. Ulikuwa unamaanisha hivi au ni tofauti? Au huyo kijana alikuwa ametoboa vidole vya mguuni ili kuvisha hizo hereni?

Wewe umeelewa isipokuwa unataka kurefusha tu mazungumzo. kwa kifupi mwanamume kuvaa heleni sikioni au kikuku mimi kwangu wote ni wachumba tu.(hii nayo ya wachumba utailetea ubishi?). Mambo ya kuiga iga utamaduni mchafu wa baadhi ya watu wa magharibi eti kwa kisingizio cha duni kuwa kijiji kimoja ni upumbavu. Toka enzi za mababu mwanume ana features ambazo zinamtofautisha na mwanamke ukiachilia mbali tofauti za kiorgan. Lakini sas hivi mpaka mtangazaji wa tv mwanaume unakuta kavaa helen
 
Sweetbaby, wakati wewe unamshangaa huyo, mimi nimekutana na mwanaume, amevaa hereni ya kung'ing'inia kabisa, ya urembo. Bahati mbaya sikuweza kuona upande wa pili kama kavaa. Ila kwa mavazi alikuwa amevaa kama mwanaume wa kawaida kabisa.

Dunia imekwisha dadangu. Uliona lile busu la Adam Liston kwenye American Music Awards?

Ni kumuomba Mungu tu sasa
 
eeeehhhhh masiha shuka sasa bwana loh!!!!hii hatari bora dunia ifike mahali pake
 
Sweetbaby, wakati wewe unamshangaa huyo, mimi nimekutana na mwanaume, amevaa hereni ya kung'ing'inia kabisa, ya urembo. Bahati mbaya sikuweza kuona upande wa pili kama kavaa. Ila kwa mavazi alikuwa amevaa kama mwanaume wa kawaida kabisa.

Dunia imekwisha dadangu. Uliona lile busu la Adam Liston kwenye American Music Awards?

Ni kumuomba Mungu tu sasa

Na hawa mtawaita mashoga?

Maasai4.jpg

10_09_u0jbyb.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom